Recent content by msigejb

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano ACT Kigoma Ni Aibu Tupu

    ukiona chama kinaanzishwa penye mgogoro ujue hao ndiyo waanzilishi wa mgogoro. nafikiri ACT imeanzishwa wakati mbovu sana. ndiyo maana ila,kupata wanachama wanalazimika kutumia sera ya ccm ya kuua vyama vingine ili wapate abiria. km wangekuwa na nia njema kwa nchi hii wangetafta chama chochote...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Miradi ipi iliyowahi kutekelezwa na wapinzani kwa niaba ya serikali?

    yaani mmekaririshwa na nape kila kitu mseme mnachokisema. ruzuku wanaopewa hela nyingi ni ccm nambie japo barabara ya changarawe uliyowahi sikia ccm wamejenga kwa ruzuku, nitajie kisima hata kimoja au darasa japo moja lililojengwa na nccr mageuzi kwa ruzuku, nitajie japo dawati moja...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Miradi ipi iliyowahi kutekelezwa na wapinzani kwa niaba ya serikali?

    bora post yako ungeandika hivi ni nini kazi ya ruzuku kwa vyama vya siasa ili ufundishwe kuliko kukurupuka tuu. unaonesha ulivyo miongoni mwa wapuuzi wanaolaumu bila hata kujua wanalaumu nini. anza upya mkono wa paka.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hizo kazi maalum za Prof. Mark Mwandosya ni zipi?

    mwandosya kuwa hana wizara maalum kumbe ni kufa sijui ni kisiasa au ni kiafya au kajikwaa kuitetea nafasi hiyo ya uwaziri?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Kilimo Tanzania

    wameshaanza kupokea maombi kama kule ilonga morogoro, tengeru arusha, kuna mwanza, uyole mbeya, ingia mtandao wa wizara ya kilimo na chakula utapata maelekezo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI CHADEMA: Ratiba yatoka Rasmi

    ratiba hiyo imeanza kutekelezwa, huku kwetu uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa igogo umefanyika jana, ila bado hatujapata matokeo.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza nia ubunge Mufindi Kusini 2015

    Natangaza nia kugombea ubunge jimbo la mufindi kusini 2015, Namalizia Masomo yangu ya shahada ya udaktari mwaka huu. kwa sasa ni waziri wa sheria, katiba na bunge chuoni kwangu. background yangu ya uongozi Primary kiranja wa Michezo tangu la pili hadi la saba olevel katibu wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo wizara ya michezo inavyoweza kutupatia ajira vijana sehemu ya i.

    uingereza imeweza kutengeneza ajira za kutosha kwa vijana kupitia michezo kama ifuatavyo wana jumla ya ligi 16 rasmi zenye timu zaidi ya 368 zikisajili zaidi ya wachezaji 10000, kumbuka hapa viongozi wa vilabu hawajahesabiwa, benchi la ufundi nalo bado na mengineyo mengi tuu. na hapo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Uchaguzi wa Udiwani Feb 09, 2014: CCM yaibuka kidedea!

    Muongo mkubwa wewe KITETO KATA ZOTE MBILI, NJOMBE, KASANGA, SOMBETINI, KIBOROLONI , na NYASURA zote CHADEMA wameshinda.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    acheni uwongo jamani. chadema wameshinda kata sita hadi sasa. kiteto kata mbili zote zilikuwa za CCM arusha na moshi jumla kata 2 njombe na kasanga 2 so wameongeza kata nne hadi hapo. tusubiri kwingine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mgeja aionya CHADEMA kutokana na vurugu

    kwa mujibu wa dereva charles anasema wahusika walikodiwa toka tarime. nimeongea naye kwa mdomo wangu. swali je alijuaje wametoka tarime? alafu hii tabia ya waandishi kukuza habari ndiyo itakayotufarakanisha watanzania. wanasema huyu dereva kashonwa nyuzi kumi na mbili. ni uongo mtupu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maneno ya hekima kutoka kwa mwenyekiti wa Taifa CHADEMA

    huwa naipenda sana kauli ya mchungaji msigwa ukiwa na ugonjwa wa malnutrion utotoni tegemea kudumaa kwa akili ukubwani. viongozi wengi wamedumaa akili, mfano kigwangala alikiri kuugua malnutrion akiwa mdogo. watu wa namna hii kwa tanzania ni takribani 20milion kwa hiyo hata kucoment hapa utaona...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    ukitaka uwaziri we ongea ovyo tuu bungeni au msifie sana mkuu wa kaya lazima uukwae.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    migulu chemba kafungwa domo lake kubwa hakuna kubwata ovyo tena bungeni hivi ndivyo alivyozimwa njelu kasaka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Most Powerful Militaries in Africa

    kwa africa tanzania inashika nafasi ya sita, east and central africa tanzania inaongoza. so hiyo list haijakaa sawa hebu jaribu kuchek vizuri
Back
Top Bottom