Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,586
- 46,593
Jitu moja linaingia na ID kumi. Wakiwa wanne ujue ni ID 40. (Tazama uandishi wa Simiyu Yetu, ifweero, Tume ya Katiba, utaifakwanza,) (kisha tazama uandishi wa CHAMVIGA, ZeMarcopolo, MSALANI) kisha tazama uandishi wa Tandale one ,@ mafilili, katibu Mwenezi) Wakiingia badala ya kujenga hoja wao huishia kuporomosha matusi kwa wana CDM na viongozi wao. Mwishowe wanakula ban na mods wanaunganisha ID zao. Wewe utaona hawadumu kumbe ID zimeunganishwa
Teh teh teh,Mkuu Mzito Kabwela umesahau ID mbili,moja Simiyu Voice na hii ni mpya kabisa iliibuka 2weeks ago sasa hivi haipo tena na nyingine ni Thatha.
Last edited by a moderator: