Natangaza nia kugombea ubunge jimbo la mufindi kusini 2015,
Namalizia Masomo yangu ya shahada ya udaktari mwaka huu.
kwa sasa ni waziri wa sheria, katiba na bunge chuoni kwangu.
background yangu ya uongozi
Primary kiranja wa Michezo tangu la pili hadi la saba
olevel katibu wa serikali ya wanafunzi kidato cha kwanza na cha pili
kiranja mkuu wa serikali ya wanafunzi kidato cha tatu na cha nne.
Advance
mwenyekiti wa TYCS tawi
mwenyekiti wa TYCS wilaya
mgombea umakamu kiranja mkuu nikatoa form kwa mgombea mwingine darasa kwangu ili kupisha mgongano wa maslahi na kupunguza mlundikano wa madaraka kwa vile nafasi hii niliombwa kuigombea na tayari nilishakuwa nashikilia uongozi wa TYCS. Na mgombea niliyemuachia akashinda nafasi hiyo
chuo kikuu.
Mbunge wa wanafunzi waishio offcampus na
mjumbe wa kamati ya kutunga katiba mpya ya serikali ya wanafunzi baada ya chuo kuwa chuo kikuu kamili kutoka kishiriki.
mwandishi wa katiba mpya ya Serikali ya wanafunzi
na sasa Waziri wa katiba Sheria na Bunge
so wadau nahitaji maoni yenu yenye hekima ili kama mnadhani kwa uzoefu huo niliouleza hapo juu inajitosheleza kuingia uwanja wa pili wa mapambano au la.
sijataja chama kwa makusudi ili nipate uzoefu wa mawazo yenu bila kujali upo upande gani kwa sasa ni mwanachama halali wa chama cha siasa.
mpango wangu ni kupambana na Mh. kigola ambaye hadi sasa hakuna jipya alilolileta kwa jimbo hili lenye utajiri mkubwa zaidi tanzania likishika nafasi ya tatu ya utajiri kitaifa.
sijajitaja jina pia kwa sababu ya harakati ninazoendelea nazo kuzifanya ili kutimiza azima yangu bila kuingiliwa.
nakamilisha kuiandika wilaya hii ya mufindi kwenye mtandao hasa kwa kuboresha taarifa halisi za wakazi na hali ya uchumi