VOICE OF LAKE ZONE
Member
- Jul 24, 2014
- 28
- 7
ACT chama cha wasaliti
kwa style hii, hawa jamaa hawatafiki mbali, its matter of time, watapotea na watasambaratika!!Inaonekana wananchi wameshashitukia dili; ACT ni ajenti wa CCM. Hata kwenye huu Mkutano Wa kigoma jana 23.07.2014, Na mikutano iliyotangulia kazi kubwa ni kushambulia CHADEMA. Huu ni mkakati wa ajabu kwani CHADEMA si Chama tawala. Matatizo ya nchi hii kwa wananchi hayatokani na CHADEMA. Yanatokana Na uongozi mbovu wa Chama tawala.-
Chama chochote cha siasa lengo lake ni kutwaa dola. Lakini inaonekana dhahili kwamba ACT lengo lake ni kupambana na vyama vya upinzani hasa hasa kupambana na CHADEMA!-
Kwa maana hiyo ACT imejiweka wazi lengo lake na kirefu chake sahihi ni Alliance for Conspiracy and Traitors Au Alliance of Cowards and Traitors kwani tumeeendelea kushuhudia wasaliti, waoga na wala njama wakiendelea kurubuniwa kujiunga na chama hiki ili kuendelea kurubuni viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.
Shame on you ACT Na umamluki wenu
ACT wanapambana na vyama vyote 20.
ACT hawajampinga mtu nyie Chadema ndiyo mnaweweseka na ACT.Ukiona chama kinapinga upinzani ujuwe ni chama tawala, act kimedhihirisha kuwa ni tawi la ccm
Wewe punguani wa JF tumeishakuzoea.ACT kitaongozwa na mwenyekiti muislam halafu mfupi!! hakifiki mbali na kimeshindwa mapema sana...yaani kama ni team basi ni sawa na Cameroon
ACT wanapambana na vyama vyote 20.
Kwa sababu ni mamluki waliokubali kutumiwa na wahuni, majangili, magaidi, wauza unga na mafisadi wa MACCM ili kuisambaratisha CHADEMA kazi ambayo MACCM imewashinda.
ACT chama cha wasaliti
A.c.t ndio tumaini pekee la watz
Kila kuchao utasikia 'kutakuwa na Mkutano Mkubwa Wa ACT... mahala fulani'
ACT imepata aibu, Kigoma ikiwa ndio ngome yake kuu, inasikitisha kuona mahudhurio kidogo kiasi hiki.
Inaonekana wananchi wameshashitukia dili; ACT ni ajenti wa CCM. Hata kwenye huu Mkutano Wa kigoma jana 23.07.2014, Na mikutano iliyotangulia kazi kubwa ni kushambulia CHADEMA. Huu ni mkakati wa ajabu kwani CHADEMA si Chama tawala. Matatizo ya nchi hii kwa wananchi hayatokani na CHADEMA. Yanatokana Na uongozi mbovu wa Chama tawala.-
Chama chochote cha siasa lengo lake ni kutwaa dola. Lakini inaonekana dhahili kwamba ACT lengo lake ni kupambana na vyama vya upinzani hasa hasa kupambana na CHADEMA!-
Kwa maana hiyo ACT imejiweka wazi lengo lake na kirefu chake sahihi ni Alliance for Conspiracy and Traitors Au Alliance of Cowards and Traitors kwani tumeeendelea kushuhudia wasaliti, waoga na wala njama wakiendelea kurubuniwa kujiunga na chama hiki ili kuendelea kurubuni viongozi na wanachama wa vyama vya upinzani.
Shame on you ACT Na umamluki wenu
ACT hawajampinga mtu nyie Chadema ndiyo mnaweweseka na ACT.
ACT hawajampinga mtu nyie Chadema ndiyo mnaweweseka na ACT.
ACT ni Anti-CHADEMA TROUPE
ACT ni kituo cha kupumzikia wakati wa safari ya kurudi CCM. Kama kuna jambo ambalo CHADEMA wanastahili kusifiwa ni kumfukuza Zito kwenye uongozi na ndani ya chama. Tulio na macho tulibaini kwa muda mrefu Zito alikuwa ni kibaraka wa CCM na TISS ndani ya CHADEMA.
Zito alikuwa mtu wa karibu na maofisa wa juu wa TISS kuliko hata maofisa wa kawaida wa TISS. Bado anaamini kuwa kwa msaada wa TISS na CCM, ACT itafanikiwa kuua upinzani Tanzania. Lakini mwisho wa siku ataambuka tu. ACT inaweza kuviua vyama vingine lakini haitaweza kuiua CHADEMA au CUF maana hizi ni taasisi kamili wala siyo vikundi vya watu kama ilivyo ACT. Huwezi kutumia kikundi kuua taasisi.