Very nice mletamada. Umefikilia mbali sana. Tatizo watu watakupinga kwa sababu zao za unazi wa vyama na wafuasi wao wahalifu wasioona juhudi za makonda. Ila wenyemacho tunaona na wenye masikio tunasikia. Wacha dogo makonda afanye kazi na uncle magu hatamtupa mkono
Mdau kalela mada watu wanatoka nje kabisa ya mada husika. Mara ameachika, mara hajielewi. Hivi nani katuroga? Au ndo huyu masai? Hivi mnafaidi nini kupeana vijembe kwajili ya huyu muhuni? Hata angekua rais yeye angewapa hata buku? Tafakari chukua hatua.
Mada inamuhusu ndalichako MTU analeta habari za lowasa. Mbona amekua wazili Mkuu akaishia kupiga PESA na kukimbia. Kama mama kakosea tumkosoe ila sio kumfananisha na wahuni kama lowasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.