Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Ilizoeeka miaka ya nyuma kila ifikapo mwaka mpya katika kijiji cha Ngarash,Monduli nyumbani kwa ndg.Lowassa ngombe,mbuzi wa kutosha walichinjwa na maelfu ya wananchi,wanasiasa na maswahiba walishiriki hakika zilikuwa sherehe zilizofana. Katika miaka hii miwili 2016 na 2017 watu wamesinyaa.
Ikumbukwe kwamba hafla hizo za mwaka mpya ziitumika kutangaza unabii mbalimbali ukiwemo ule maarufu wa "Safari ya matumaini".
Tabia hujenga mazoea,Je dhumuni ya dhifa na hafla za miaka iliyopita zililenga kuvuta mafuriko? Ilikuwa ni ukarimu? Mifugo ilikuwa mingi? Nini kimempata nguli huyu? wajuvi wa mambo bila kutumia lugha ya matusi tupeni taarifa.