Recent content by Msichoke

  1. Msichoke

    Tunachimba visima vya maji

    Huku kwetu wanachimba hadi 40,000 kwa mita, watakuwa wanapata hasara sana!
  2. Msichoke

    Bodi ya Ithibati yawataka waandishi wa habari kujisajili ili watambuliwe rasmi

    Taaluma ikiwa kubwa na pana si ndiyo inahitaji uthibiti mkuu? au unataka iendelee kuwa holela? Unafurahi kuona wachekeshaji nao wanafanya kazi za habari bila kujua misingi na maadili yale?
  3. Msichoke

    Mkoa wa Mwanza Unahitaji Chuo Kikuu cha Umma kikubwa na kinachoeleweka

    Mkuu hoja yako imetawaliwa na ukanda (Geita,Mwanza,Kagera) kwa kigezo cha umbali...nakuuliza je kazi nazo tuwaletee huko huko au watazifuata nje ya hiyo kanda? Waache watoto watoke nje ya mikoa yao wapate exposure. Siyo jambo la kupendeza sana mtoto awe anahama mitaa tu anaanza Primary...
  4. Msichoke

    Mkoa wa Mwanza Unahitaji Chuo Kikuu cha Umma kikubwa na kinachoeleweka

    Wakiletewa chuo huko Mwanza,wakimaliza masomo na kazi tuwaletee huko huko au watazifuata Dar?
  5. Msichoke

    Dkt. Mwigulu: Mifumo ya kielektroniki ni muarobaini upotevu wa mapato ya serikali

    Matumizi sahihi na salama ya mifumo ya kieletroniki Serikalini, yametajwa kuwa suluhisho la kudumu katika kuziba mianya ya upotevu wa rasilimali za serikali ikiwemo mapato yatokanayo na vyanzo mbalimbali nchini. Hayo yameelezwa jana jijini Dodoma na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba, wakati...
  6. Msichoke

    Matapeli wa miaka ya 90's walikuwa balaa sana

    Ukipenda shortcut lazima utapeliwe.Mimi tangu nitapeliwe pale DDC Kariakoo mwaka 1998 sijatapeliwa tena hadi leo😀 Ukiniambia sijui Almas nakuelekeza pa kwenda kuziuza.Nimemaliza
  7. Msichoke

    Senzo + injinia Hersi wapindua meza kwa Luis, Ahly wakubaliana na Yanga

    Mwandishi una undugu na Alinacha?
  8. Msichoke

    Naombea Simba atolewe na Orlando

    Kwani Uto huwa mna lugha ya kizalendo Simba akifungwa?
  9. Msichoke

    Prof. Mbarawa aweka jiwe la msingi mradi wa SGR Makutupora - Tabora

    Mambo yamebadilika enzi za Mtukufu (the late CEO) haya yote alikuwa anafanya mwenyewe. Mawaziri walibaki kupiga makofi tu au kuzindua installation za tranforma tu😁
  10. Msichoke

    Nimepata email ya kuitwa kwenye usaili ila nahisi matapeli hawa jamaa hembu nishaurini bandugu

    Yaani ukiniomba hata 1000 ili niwe kwenye interview umenikosa
  11. Msichoke

    Kwanini NSSF hawanipi mafao yangu yote baada ya kuacha ajira?

    Mbunge wako alipitisha hii sheria nenda kamuulize vizuri kabla hujampa kura tena
  12. Msichoke

    GE2020 Je, wajua kuwa Mfumo wa Serikali ya Majimbo unatumika kwenye Nchi zenye kukosa Umoja wa Kitaifa?

    Kwani kipi kilianza;majimbo au maendeleo? N unaposema issue ya Ukabila inakujaje? Kwani tukisema Mwanza,Geita,Shinyanga liwe jimbo moja ndio itachochea ukabila? Kwani watu wa makabila mengine hawatoruhusiwa kufanya kazi?Kazi zitatolewa kwa kigezo cha ukabila? Shule zitafundishwa kwa kisukuma...
  13. Msichoke

    GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Naomba picha za hao watumishi wa Umma majasiri niwaone
  14. Msichoke

    Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Mimi nilikutana nayo 2006 huko...jamaa walikuwa pale Magomeni Usalama.Nilipewa mdada ndio supervisor aiseee tulikanyaga toka Magomeni hadi Karume nikamwambia mimi naishia pale nikapanda daladala nikarudi ofisini kwao niliacha kibegi changu nikabeba nikala kona.
  15. Msichoke

    Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

    Aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki Mwanasheria Tundu Lissu amesema hatorudi Tanzania hadi apate uhakika wa usalama wake
Back
Top Bottom