Unaomba hata ushauri jamani sijui hiyo roho aliipata wapi mume wake mstaarabu hana makuu talaka kaitaka mwenywe ila naona alivyomwaga mafuta alijua kabisa baba kaungua na baba alikuwa kalala na mtoto uwiii sheria itachukua mkondo wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.