Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
Ni kwa sababu miamala (transaction) zote zitakazo fanyika baada ya hati kuandaliwa uwa zinasajiliwa kwenye ile ile hati mama uliyopewa kwa kugongwa mihuri husika na saini kwahiyo ukifanya lamination itashindikana ikitokea kuna transaction unataka kufanya.
Nadhani pia ndio maana maandamano ya kenya yanafanikiwa kwasababu hayana mlengo wa kisiasa. Uku kwetu wanasiasa wale wale leo wako chama iki kesho wako kule alafu ndio wanakushawishi eti uandamane wakati ukifuatilia wote ni kizazi kile kile.
Mtwara wamewahi kuleta vurugu wakati wa gesi na kweli...
Nchi ngumu sana hii, watu wanasoma kwa shida, ajira mtaani hakuna, na hata ikitokea nafasi ndogo at least ya vijana kujikwamua serikali ndio inakua kikwazo cha kwanza.
Nadhani kuna wakati baadhi nyimbo nzuri zinatolewa na wasanii na nikalii sana kuzisikiliza lakini hazipati nafasi ya kupenya kwenye media kivile.
Ebu tushirikishane izo nyimbo hapa chini
1. Kamanda by Bi Aisha
2. Jipe by Nadia ft Marioo
3. Nilipize by Ibranation
4..........
Sent from my Pixel...
Labda anataka kunijaribu Kama kweli nipo sensitive na negative emotional [emoji3] na kupitia ushauri wako nimesha mpuuzia. So njia yako inawork out naona[emoji106][emoji106]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.