Njia gani zinaweza kumsaidia mtu ambaye yuko very sensitive emotional?

Mshati940

Member
Apr 2, 2015
70
125
Habarini wakuu...

Nimekua niki experience hii kitu yakua very sensitive emotional. Yaani ni rahisi mnoo kuwa captured kihisia na kitu fulani. Sasa shida inakuja pale kitu kinapokuja in a negative inanichukua muda mrefu kukiondoa kichwani. Nitaweka mfano wa visa ambavyo nimewahi kuvi experience ili nieleweke kwa urahisi.

Kuna wakati nikiwa nasoma sekondari tukiwa kwenye chumba cha mtihani mwalimu akasema muda umeisha, wakati huo bado sijamaliza mtihani nikajikuta mwili ukapatwa Kama na ganzi nikashidwa kujicontrol na ile hali ikapelekea ni ejaculate.

Incidence nyingine ni pale labda mtu akiniambia nguo uliyovaa mbaya, Kama Niko sehemu ya public Basi iyo siku nzima nakua sipo comfortable na hata nikijaribu kupuuzia inanichukua hard time kuondoa kile kitu kichwani.

Incidence nyingine niliwahi kua kwenye ofisi moja boss wa pale akanisema mbele ya wafanyakazi wengine nikajikuta yaani mind yote imevurugika na sometimes mpaka mwili unatetemeka.

Incidence mbaya zaidi ni kwenye mambo ya mahusiano. Nikiwa na mahusiano na sometimes nakua na fear ambayo uniondolea peace of mind nikiwa na mtu for the first time so naweza nikajikuta hata kama kwenye kushiriki nae tendo na loose feelings.

Pia hata nikiangalia movie ikawa na scene ya kuuzunisha hata kidogo tu najikuta machozi yananitoka kirahisi tu. And I hate hii hali

Nimejaribu Mara kadhaa kutafuta namna ya kudeal na izi hali kisaikorojia na kujitengenezea kurelax ninapo anza kuhisi kuface iyo hali but still kuna muda nashidwa.

Kwa ambao wamewahi ku experience hii hali na wakajua namna ya ku overcome ambayo inaweza ku work out tafadhari mnaweza kushare experience nami.

Natanguliza shukrani
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
42,704
2,000
Jifunze kuwa mtu wa kutokujali baadhi ya changamoto hasi zinazo kukuta

Jali sana kuhusu wewe mwenyewe na maisha yako ... Watu Kama wewe wengi huwa wako very decent bahati mbaya waliyonayo Ni kwamba dunia imejaza watu wengi ambao ni Watesi wasiojali hisia za watu wengine so mara nyingi watu wa Aina yako huwa wanaishia kuumizwa tu na watu wengine kwa sababu watu wengi huwa hawajali kuhusu maisha ya wengine Huwa wanajijali waowenyewe zaidi

tafuta kitu Ambacho Ni hobby yako uwe unajikeep busy nacho itakusaidia sana kuweza kusahau manyanyaso unayo fanyiwa na walimwenguv

Mimi kidogo Nina hali Kama hiyo ya kwako ila wewe mwenzangu' umenizidi
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
39,703
2,000
Jifunze kuwa mtu wa kutokujali baadhi ya changamoto hasi zinazo kukuta

Jali sana kuhusu wewe mwenyewe na maisha yako ... Watu Kama wako wengi huwa wako very decent bahati mbaya waliyonayo Ni kwamba dunia imejaza watu wengi ambao ni Watesi wasiojali hisia za watu wengine so mara nyingi watu wa Aina yako huwa wanaishia kuumizwa tu na watu wengine kwa sababu watu wengi huwa hawajali kuhusu maisha ya wengine Huwa wanajijali waowenyewe zaidi

tafuta kitu Ambacho Ni hobby yako uwe unajikeep busy nacho itakusaidia sana kuweza kusahau manyanyaso unayo fanyiwa na walimwenguv

Mimi kidogo Ni hali Kama hiyo ya kwako ila wewe mwenzangu' umenizidi
Ukiwa mtu wa kujali jali sana katika hii dunia ndio utaishia kulia lia deile na sio kwamba watu wana shughuli na machozi yako. Wataishia kukuona mjinga.

Dunia ina makatili sana make sure unajifunza kuishi nao.
 
Sure na ndio hicho Ambacho najaribu kumueleza mleta mada .. dunia imejaa manyang'au wengi sana imefikia hatua ukiwa mtu wa kujali jali sana unaitwa bwege
 
Mshati940

Member
Apr 2, 2015
70
125
Jifunze kuwa mtu wa kutokujali baadhi ya changamoto hasi zinazo kukuta

Jali sana kuhusu wewe mwenyewe na maisha yako ... Watu Kama wako wengi huwa wako very decent bahati mbaya waliyonayo Ni kwamba dunia imejaza watu wengi ambao ni Watesi wasiojali hisia za watu wengine so mara nyingi watu wa Aina yako huwa wanaishia kuumizwa tu na watu wengine kwa sababu watu wengi huwa hawajali kuhusu maisha ya wengine Huwa wanajijali waowenyewe zaidi

tafuta kitu Ambacho Ni hobby yako uwe unajikeep busy nacho itakusaidia sana kuweza kusahau manyanyaso unayo fanyiwa na walimwenguv

Mimi kidogo Ni hali Kama hiyo ya kwako ila wewe mwenzangu' umenizidi
Mtesi mwingine hatakua uyo alienza ku reply .
But I got you nitalifanyia kazi
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
39,703
2,000
Sure na ndio hicho Ambacho najaribu kumueleza mleta mada .. dunia imejaa manyang'au wengi sana imefikia hatua ukiwa mtu wa kujali jali sana unaitwa bwege
Yeah unaonekana mpuuzi. Kuna msemo mmoja naishi nao. "Ukifikiri dunia itakuwa na huruma kwako kwa vile unawaonea watu huruma basi ujiandae kuumia daima"
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom