Recent content by Mshasha

  1. M

    Cheque ku-mature ina maana gani?

    Wakuu naomba kujuzwa nn maana ya cheque ku mature .
  2. M

    GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Miaka mingine mitano ya wagonjwa kulala sakafuni
  3. M

    Ben Carson Once Again Compares Something To Slavery, This Time Abortion

    I agree with what he has said , hasa hapo kwenye incest Ila kwenye rape we have to Create a system which will help these women to cope with it psychologically and at the end this children can be adopted
  4. M

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Labda TUANZe na ww
  5. M

    Mnyonge mnyongeni, hongera Kikwete kwa uboreshaji Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Leta na picha ya mwaisela , tuone jinsi wanavyowalaza wagonjwa chini!!!, Hv Unajua gharama za kumuona daktari pale moi ??? Kwa ugumu wa maisha CCM waliousababisha , ni watanzania wangapi wanaweza ku afford kutibiwa hapo ??? Saa ingine tumia akili sio unakurupuka!!!!!
  6. M

    Msaada matumizi ya iPhone

    Jaribu app inaitwa musfy
  7. M

    Kutoka ukumbi wa BoT Mwanza: Wassira atangaza nia kugombea Urais

    Kuhusu Richmond , je alihusika au alisingiziwa??
  8. M

    Serikali iwatupie jicho kali BASATA

    Kwani ilikua ni show??? Hebu tukumbushe aliimba nyimbo gani??
  9. M

    Salama ya CCM na Lowassa ni jina la Lowassa kukatwa na si vinginevyo

    Kwa mbaaaali namuona raise anayesubiri kuapishwa(slaa) akiliombea hili fisadi lipitishwe kugombea urais
  10. M

    Solar energy TANZANIA

    Unataka kujua Kama tunajua au una hoja ya kwamba it's cost effective ku invest kwenye solar power ???? Nakiri sijakuelewa mkuu.
Back
Top Bottom