Recent content by MSHARI

  1. MSHARI

    Kwa wale tulioomba kazi TRA

    Nimeitwa kwenye kada ya Custom tarehe 7 nakula msuri hapa Kama sitakula Tena...
  2. MSHARI

    BoT waelezeni bodi ya bima ya amana iache upotoshaji

    Yaani hawa DIB ni wapuuzi kweli...si wawafukuze kazi basis hao wanaowaita wafanyakazi waliogoma.Umuachishe MTU kazi kwa sheria ya Tanzania wakati aliajiliwa kwa sheria ya kimataifa?!Mungu you pamoja nanyi Ex~FBME staff.
  3. MSHARI

    Miili ya askari wawili wa JWTZ yaagwa DRC

    RIP.... about their tommorow you gave your taday.
  4. MSHARI

    Jinsi ya kupika sambaro

    Mi pia napenda kupika ntajaribu....
  5. MSHARI

    Diwani wa kata ya Muriet aliyejiuzulu apewa vitisho!

    Muriet kwenyewe walishamchoka...anakamata vijana anawaweka ndani..akwendeeeeeee
  6. MSHARI

    Msaada jinsi ya kutengeneza fondant

    Sorry...kuna ICING SUGAR..hiyo nyeupe.
  7. MSHARI

    Msaada jinsi ya kutengeneza fondant

    Kuna FONDANT za aina 2 AINA YA KWANZA.1 Hapa unahitaji 1.Mashmallow(eg 1 pakt) 2.Maji nusu kikombe (depends na wing wa mashmallows zako) 3.Bakuli kubwa (la udongo) 4.Rangi uipendayo 5.Vanilla (unaweza kutumia ladha yoyote) then follow pictures...
  8. MSHARI

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Poor my country duh......Yani tumefika huko..Bsi wampeleke GAMBO awe mkuu wa wilaya ya KIBITI.
  9. MSHARI

    Mahojiano ya mkurugenzi Clouds Media na Falsafa ya panya

    Bwana zero aligeuza mawinguni ndio sebuleni kwake pa kupumzikia......watakoma sasa
Back
Top Bottom