Kwa wale tulioomba kazi TRA

Kwa wale tulioomba kazi TRA

Watu tuliochaguliwa Tax Management Assistant nicheki tuanzishe group tushare material
Acheni ujing nyie vijan mnakutana huku jf mnaanza kupeana namba achen ujinga kila mtu asome kivyake vyake mambo ya kuanza kuanzishana magroup ndio chanzo Cha kuanza kulishana matango pori

HV munatoaje namba zako hku Ni anonymous tu CYO lzm kufahamiana
 
Kwakweli mie nimeitwa kwenye usahili, saivi ni muda wa kula msuli wa nguvu ili nitoboe. Maana si kwa nyomi hilo
Hata mm mkuu tax management officer, nipe hints wanatoa sehemu gan
 
Kumbe mambo yamebadilika!! Last time out 2021 walikua wanazingatia barua tu na vyet kama umeweka na nafikiri wote tulioomba tuliitwa
 
Mimi nilimsaidia mtu kufanya application na nilihakikisha mimi mwenyewe kuwa nimecertify kwa wakili copies zote na nikaaply mimi mwenyewe eti leo inaonesha kuwa hakucertify vyeti. Nadhani kuna kitu hakipo sawa

Sailing the same boat.
 
Mimi nilimsaidia mtu kufanya application na nilihakikisha mimi mwenyewe kuwa nimecertify kwa wakili copies zote na nikaaply mimi mwenyewe eti leo inaonesha kuwa hakucertify vyeti. Nadhani kuna kitu hakipo sawa
Hii imenikuta na mimi pia
 
Mimi nilimsaidia mtu kufanya application na nilihakikisha mimi mwenyewe kuwa nimecertify kwa wakili copies zote na nikaaply mimi mwenyewe eti leo inaonesha kuwa hakucertify vyeti. Nadhani kuna kitu hakipo sawa
Mfumo nadhan haupo sawa,wakati mwingine unasave changes na wakati mwingine hausave.Pole sana mkuu,lakini watu wengi wamepata hii scenario wakisikiliza watajirekebisha na kuwaita,ndio maana wakati mwingine unaona kuna majina yameongezwa kwa ajili ya kufanya interview.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Mimi nimeambiwa Bachelor degree certificate not Verified by TCU, na nimesoma hapa hapa Tz.. Naona wameamua kutupunguza
 
Kwahyo haijulikani idadi ya waliyoitwa maana kuna mtu katumia laptop yangu nimuangalizi wamemuandikia tu shortlisted na namba ya interview
 
Habari za mchana wapendwa,kwa wale tuliiomba kazi tra,kupitia utumishi tumejibiwa ila hakuna mkeka wowote uliotoka kama tulivyozoea,unaingia kwenye portal unalogin utapata majibu yako kwenye "my application"

Cha kushangaza sana wametoa sababu tofauti tofauti kwa kila mmoja kutokukidhi,au kuwa shortlisted for the interview,vipi nyie wenzangu mmefanikiwa????
Nimeitwa kwenye kada ya Custom tarehe 7 nakula msuri hapa Kama sitakula Tena...
 
Back
Top Bottom