Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

Kuna haja ya kujifunza kitu katika hili binadamu akichoka hubadilika na kuwa mnyama hatari kuliko hata simba ni muda wa viongozi kujitathimini hofu yangu vugu vugu hili likisambaa mikoa mingine itakuwaje maana hata nchi zilizoingia kwenye machafuka mambo yalianza taratibu badae kufikia pabaya zaidi
Akina Tontoni wanaweza kupata pa kuanzia.
 
Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, General Evance Mabeyo leo atawasili katika wilaya ya Kibiti, pwani na kuzungumza na watu wa maeneo hayo.
a274044abaca3fd7cb554f2b68edee19.jpg

General Evance Mabeyo atapata nafasi ya kuzungumza na wananchi wa kibiti, katika shule ya secondary kibiti
Source:
Clouds
Kaongee nao tatizo linaweza isha make haliinatisha!!
 
Nguvu inahitajika pia. Maana wauaji wao wanatumia nguvu pia

Ni sawa Mkuu ila mimi ningepiga kimya tu hicho kikao. Kweli unatarajia waongee ktk open forum hiyo? Hawajipendi? Unless wanafuatilia wahudhuriaji.
Notwithstanding, all the best CDF. Tuna imani nawewe.
 
Ni Vizuri
Akawauliza nini madai yao. Maana lazima watakuwa na madai yanayowafanya wafanye mauaji hayo.
Huenda wanamahitaji ambayo yanaweza kutejekezwa na serikali au viongozi wa serikali za mitaa.
Kundi lolote la kigaidi huwa lina madai flani.
Hata kwa kuyasikia tu madai yao itakuwa ni moja ya njia ya kupata ufumbuzi wa tatizo.

Zingatia mkuu.

Sasa hao magaidi watajitokeza hapo kuelezea madai yao, looh!
 
Hao watu hawapo Tanzania na kama wapo hawathaminiwi
Wapo wengi sana jeshini.Wamesomeshwa UK na Israel,dont under estimate our army brother
Kitendo cha CDF kwenda kule kinatakiwa kitizamwe kwa jicho pana,anakwenda ku access ni aina gani ya nguvu ya kijeshi inatakiwa,pengine intelijensia tu ya kijeshi itamaliza haya.
Tatizo la polisi wetu wanaishi kizembe sana,na si ajabu unaona geti linafungwa polisi,yaani polisi wanaogopa wahalifu je wewe raia?
Ulishasikia wapi kambi au askari wa JWTZ kanyang'anywa silaha?ile wakipigwa bar tu kwa ulevi,mtiti wao unafika hadi bungeni!
 
Yatasemwa mengi ila ukweli utabaki palepale mauwaji ya huko yatakomeshwa kwa njia ya maridhiano baina ya wananchi na hao askari na sio kutumia nguvu na silaha. Kila lakheri CDF.
 
Kiongozi wangu. Heshima yako.

Ili kupata solution ya tatizo lolote lazima speculation na ili utatue tatizo lazima ufahamu kuwa ni tatizo gani?

Mara zote vita na mauaji hutokea baada ya uonevu au ubabe.

Na ili vita iishe au ugomvi uishe ni lazima mmoja wapo awe mjinga akubali yaishe.

Naendelea ku type......


Issue ya kibiti ina picha mbili..
Kwanza kuna mashehe wale waliokamatwa..

Wale wasipoachiwa basi mauaji yataendelea bila kukoma.

Wale mashehe waulizwe wanataka nini na waachiwe bila pingamizi lolote.

Kundi lingine ni hawa jamaa ambao wapo kwenye system.

Namaanisha wajeda..

Hakuna wasiwasi kabisa kuwa hii vita inafanywa na trained people.
Imagine mtu mmoja anawalaza askari polisi saba tena wamejikoki wapo kwenye doria?

Huyu sio mtanzania wa kawaida ni mtu mwenye mafunzo ya hali ya juu sana.

Here we approaching the wrong groups,

Wazee wetu waislamu wa kibiti wanakamatwa, wanapigwa wanateswa.

Imagine shehe anatoa wapi mafunzo ya kutumia sniper?

Watu wanadunguliwa kwa sniper..

Data ambazo ninazo kutoka kabisa jikoni ni kuwa hawa jamaa wapo kwenye system wanajuana.

Jeshi la tanzania na ujanja wake wote washindwe kuwadhibuti magaidi wa kitanzania? Tangu lini?

Hapo ni jeshi against government.

Wamalizane wenyewe kiustarabu. Wasimuumize rais kichwa.
Magufuli ana kazi nyingi sana.

Hapo inatakiwa weledi wa mkuu wa majshi amalizane na vijana wake kwa maongezi.
Akitumia nguvu atawashinda lakini itamchukua muda sana na damu nyingi sana zitakuwa zimeshapotea.
Huu ni mtazamo wa Saint Ivuga na sio mtizamo wa [HASHTAG]#jamiiforums[/HASHTAG].

Sniper ni mtu sio kifaa.. Rejea hapo juu uliposema "Sheikh anatoa wapi mafunzo ya kutumia sniper "
 
Wapo wengi sana jeshini.Wamesomeshwa UK na Israel,dont under estimate our army brother
Kitendo cha CDF kwenda kule kinatakiwa kitizamwe kwa jicho pana,anakwenda ku access ni aina gani ya nguvu ya kijeshi inatakiwa,pengine intelijensia tu ya kijeshi itamaliza haya.
Tatizo la polisi wetu wanaishi kizembe sana,na si ajabu unaona geti linafungwa polisi,yaani polisi wanaogopa wahalifu je wewe raia?
Ulishasikia wapi kambi au askari wa JWTZ kanyang'anywa silaha?ile wakipwa bar tu kwa ulevi,mtiti wao unafika hadi bungeni!
Unaamini hiyo issue inahitaji attention ya jeshi?,
 
Hao wazee are next in line I reckon. Haya magaidi yanaua tu

Tunaombea suluhu ipatikane
 
Tatizo la kibiti sio maguruneti au vifaru.

Bila intelijensia makini hayo mengine ni kupoteza muda
Gen. Venance Mabeyo is a seasoned combat intelligence officer. Mkuu Granta hilo unaloshauri ndiyo fani yake haswa. Na huwa ni mkimya sana kama vile hayupo lakini ni ukweli kwamba hupenda kutumia kichwa Zaidi kuliko mdomo.
 
Back
Top Bottom