Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

All these just to defend an individual who the public has lost confidence with his leadership?.
Is it real that that guy is an asset to the nation to cause all these mercy to the nation?.
 
Akavae gwanda sawa sawa! Si mnasema mtoto wa mjini.
===
Repoti alishaifikisha sijui. Na hana cha kupangiwa kazi nyingine.
 
FB_IMG_1490203238619.jpg
 
Hakuna sehemu iliyosema kuwa amefukuzwa, inaweza kua ameamua kuachia nafasi yake ya uwaziri kutokana na kutokubaliana na Rais. Mimi nashaka huyu Nape amejiuzuru baada ya kuona taarifa yake imepuuziwa.
 
hii nchi kwakweli, kama afrika inahitaji kutawaliwa tena basi napendekeza hii nchi iwe ya kwanza. tumekosea wapi mpaka yatufike yote haya? hatuna kitu tunachoweza kukifanya kwa weledi , kila tufanyacho kimejaa ubabe, visa, chuki na majidai
 
Back
Top Bottom