Recent content by MSHALE KIUNONI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kiswahili na english anahitajika Kagera

    WAdau kuna shule inatafuta mwl wa English na Kiswahili kwa level ya Secondary [F1 -F4]hapa mkoani Kagera, ila inalipa laki 3 pekee Kama unataka nicheki inbob nikuunganishe faster
  2. M

    JamiiForums Tanzania Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

    Mmmmh!! Hatar
  3. M

    JamiiForums Tanzania Deutch Welle yaanza uchochezi

    Acha ujinga ww, ni wapi uliposikia watu wameanza kuuana? Na kama hapana, kwa nini useme wanachochea? Kanye huko naona ma...avi yamekubana. Unataka ukwel usisemwe? M2 akisema tu ukweli fisiemu mnamuita mchochezi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

    Mwafwaaaaaaaaaaa! Ilikuwa kagera sasa zamu ya simiu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wakuu wa shule au kwa mwenye connection nao

    Wadau Wa Jf habarin za muda huu mm ni mwanafunzi wa chuo flan hapa dar, nachukua bsc ed with chemistry mwaka wa pili, nilichaguliwa engneering ktk chuo hiki ambapo ada ni kubwa sana na nisingeweza kuilipa kwan cna wa kunishka mkono(ni mm kama mm) nimechelewa kulpa ada na kureport chuo kutokana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kijipu uchungu TRA Terminal II Airport geti la wanaowasili

    Toa Ushahd Hapa jamvini, la sivyo kes ya makosa ya mtandao ikukumbe mara moja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

    CCM nawashangaa sana, mlituaminisha kuwa Hon Lowassa pesa zote zmeishia kwenye campaign, sasa hizo za kuwahonga wabunge wote amezitoa wapi? SHAME ON YOU MAFISIEMU
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya Serikali ya awamu ya 5 yaanza kupotoshwa

    alisema safari yoyote ile mpaka atoe kibali yeye, na mambo hayo mengn yatashugulikiwa na mabalozi. Sion kama wanamhujumu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wapi Seleman Msindi (Afande Sele)?

    anatafuta pesa kwanza za kampeni kwenye kampuni hii, pakua umcheki Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa aliposema mkutanoni alikuwa anaota?

    Kumbe alisema enzi hizo, mm nikajua amesema leo! PELEKA TUHUMA ZAKO HUKO!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

    angalia hapa ucheke Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

    angalia hapa uone Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiyo Lowasa, Jionee Mwenyewe!

    Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Wanafunzi wa vyuo tafadhali soma huku unaingiza kipata hadi 500,000 kwa mwezi. Link hiyoooo Jobrize.com - Earn from Your Home, Earning website for Students, Job-less people
Back
Top Bottom