Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
Bado anatembeza bakuli ili aanze kampeni ya kuongoza wana wa morogoro