Recent content by msausoghonoi

  1. msausoghonoi

    Hivi kama uko na mtu na huna malengo nae ila mna enjoy na kupendana,ni hak umwambie au ukae tuu kimya?ukisema utamuumiza

    Umri sio issue issue ni kupendana tu... Macron ashakuonyesha mfano haha.... cha msingi ni kuangalia unaempenda na mwenye akili ya maisha.... kuwa single mother ni kosa moja tu kama wewe unavyotenda kosa la kulala nae everyday wakati una mtu.... so kumtazama single mother kama mtu ambae hana...
  2. msausoghonoi

    Airtel Kuna shida gani? Dakika 315 mitandao yote kuisha ndani ya wiki mbili

    Mimi ziliisha ndani ya wiki moja nilishindwa kuelewa na mpaka leo sijaelewa na imenitokea last month Sent from S7
  3. msausoghonoi

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Jambo la msingi hapa ni kwamba watanzania wanaopewa dhamana wapunguze kushabikia uvyama na umimi. Tuanze kuangalia maslahi ya Taifa kwenye mambo ya msingi. Tukishaweza hilo ndo kuheshimy taratibu na kuzifuata kufuate. Sa izi Hata Magufuli hapeleki issue zake za kununua ndege bungeni kwasababu...
  4. msausoghonoi

    Boss wangu ananizidi miaka 7 na nasikia ana ngoma lakin anataka nimuoe

    Kama humpendi chapa mwendo. Kama unampenda kapemeni ukimwi akiwa fine funga ndoa kabisa na mali zote chukua hahahahaha. Tatizo lako ulishaanza kugegeda halafu ndo unaanza kutaka kutoroka. Ngoja akunyooshe
  5. msausoghonoi

    Utamfanya nini utakayemkuta anazini na mwenza wako?

    Maamuzi ya mtu mzima ujue ni ya kuheshimu na huku duniani ukitaka kucomplicate maisha utakufa mapema sana. Kiroho safi aende tu. Unaangalia ustaarabu mwingine.
  6. msausoghonoi

    Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

    Inawezekana kabisa mkuu. Sema ni watu wachache kwa tanzania yetu hii. Mimi mwenyewe ni moja ya hiyo sample, gari 2 na nyumba nzuri ya kawaida na nina 29 by now na sijaiba cha mtu. Mwombe Mungu na upambane bila kukata tamaa. Ukitegemea mshahara tu hautoshi. Nenda shamba, anzisha na vibiashara...
  7. msausoghonoi

    Tatizo ni nini kwa vijana wazawa wa Tanzania?

    I agree with 100% na sijasema kwamba hawapo ili namba yetu ni chache kwa kweli. Tunahitaji kuongeza uwezo. Thats all. Siungani mkono na generalization kwamba watanzania ni wavivu.
  8. msausoghonoi

    Tatizo ni nini kwa vijana wazawa wa Tanzania?

    Watanzania vijana wengi (sio wote) tunahitaji kubadilika hili lazima tukubali. Angalia makampuni yote ya kigeni rank zote za juu watanzania ni wachache mno kama sio hakuna kabisa. Hii inakupa indication kwamba bado tunahitaji kuongeza uwezo wa kuaminika katika majukumu makubwa.
  9. msausoghonoi

    Naombeni kanuni za kuishi na bosi mwanamke

    Nafikiri swali lake linaweza kuwa na Mantiki. You cant out-shine your boss thats the principle. Mheshimu, fanya kazi yako kama JD inavyosema na zaidi ya JD acha mambo za kutumia internet za kazini kushinda facebook. Na ni kweli kila boss anatofautiana na boss mwingine hilo ulijue. Sio wote wako...
  10. msausoghonoi

    Top 6 ya ving'amuzi bora Tanzania vyenye wateja wengi, Unachotumia kipo?

    DSTV haiwezi kuwa na mpinzani popote haha. Linganisha vingine DSTV weka pembeni.
  11. msausoghonoi

    Tatizo la mtandao wa Halotel

    Hata sasa natumia Halotel. Wako vizuri sana.
  12. msausoghonoi

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Ila kuna mambo magumu sana nikitamani tu tayari nimezini nakuwa kundi moja na shetani muovu wa maovu yote duniani mmmmmmmh
  13. msausoghonoi

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    Usingemchukia ila maswali yako kimsingi Mungu anatakiwa akujibu kwasababu anakuonea wivu hataki upoteee. Namwomba Mungu akutane na wewe face to face mzungumze kama unavyotamani.
Back
Top Bottom