Recent content by Msakatonge Halali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ina maana hata wanahabari hawajajaribu kumtafuta Nchimbi?

    Inafikirisha watuambie wakimpigia/ kumuona mke wake au ndugu zake wanatoa majibu gani? Waende alopikua anaishi live na camera walinzi waseme lini walimuona mara ya mwisho. Watafutwe walinzi waliokua zamu usiku anajiuzulu waseme kama alitoka au yupo ndani kafungiwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi Watano, Mahabusu 8 wafariki kwa ajali ya gari Mlima Sekenke, Singida

    Kama walikua wameoa namba za wajane please
  3. M

    JamiiForums Tanzania Saluni za Dar

    Nilienda salon ya kawaida hapa Sakina, natoa elf 10 wanarudisha elf 5 macho makavuu, ety kunyoa kichwa na ndevu BILA huduma ya ziada ndo bei zao
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naanza maisha upya...au siyo

    Manzi muhimu ila kwa wiki mbili inabidi uichape vilivyo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna shida gani? Unamuheshimu mtu, anakuja kukutongoza

    Sasa wewe unataka kutongozwa na mtu usiyemuheshimu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unapozomewa ni tafsiri watu hawakuheshimu kama unavyofikiria. Hawakuonei haya

    Truth well said, ni kama baba au mama akikuagiza jambo baya huwezi kumzomea, unaweza usilifanye tu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mabeberu Waliwalipa Mashabiki Kumzomea Mwana FA

    Elewa Fasihi mkuu,hii ni sarcasm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    HATAKI wa Jose Mtambo
  9. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Nakumbuka KWENYE KUJUA UMEFIKA TAMATI, mgonjwa nilikua naenda kumuuguza ( alinimbia safari hii sitoboi) na kweli akafariki kabla sijafika kumuona.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Amen to this, huwezi amini natafura hata kazi ya ulinzi na sipati. Bahati mbaya hata accomodations Sina. Na nilikua mtu Mimi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    Message yako imenigusa, mara kadhaa ndani ya wiki hizi mbili nimekuta nawaza kufanya kama yule boda.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukata tamaa ya maisha? Ipi ilikuwa sababu

    My current situation,nilipoteza kazi 2025, nikajaribu kilimo. Wakati wa kuvuna nikapata msiba, niliyemuachia akauza na kupotea. Nimepoteza kila kitu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Goal 3 tyr
Back
Top Bottom