Recent content by msaka mahela

  1. msaka mahela

    John Mnyika amuita Rais Kikwete dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge

    Narudia kuwa Mnyika yupo sahihi na kasema ukweli ambao watu wengi wanaogopa kusema... Raisi Baraza la Mawaziri na wabunge woooote wa CCM ni DHAIFU.... ni ukweli usiopingika na Mnyika kamwe usifute kauli yako kwasababu Bajeti yenyewe ni udhibitisho mkubwa unayoyasema......
  2. msaka mahela

    Jambo tz: Mbunge simbachawene-ccm na khalifa -cuf

    cuf wana impact ya david camerun,, ndo matatizo ya ndoa za wanaume wawili,,! Huyo kipara hamna ki2 hapo!
  3. msaka mahela

    Makala za mwandishi gani zinakufurahisha zaidi?

    richad mabala je? Jamaa makala zake very philosofical.. Barua kwa wazir wa mikiki mikik na makeke!
  4. msaka mahela

    Kikwete na semina elekezi kwa Mawaziri - Dodoma 2011

    hii semina elekezi kwa mawaziri, manaibu na makatibu wakuu kwa muda wa siku nne ni kuongeza matumizi ya serikali tu.... sasa J.K si ulishawatembelea kwenye wizara zao ukaongea nao sana tu....sasaivi umewaita tena dodoma...huu ni ufujaji wa pesa ya umma.....tuna mambo ya msing mengi sana ambayo...
  5. msaka mahela

    ccm na mashangingi wao bungeni

    wanaudh sana wabunge wa ccm kaz yao kukataa hoja za wapinzan hata kama ni za msingi kwa nch yetu! badilikeni lasivyo mkija majimboni tutawachapa..!
  6. msaka mahela

    $300 over 2 months Post Classifieds

    oky, here we go,, leta mzigo huo 2pige kazi!
  7. msaka mahela

    Barua ya wazi kwa RPC Arusha

    utampa nini jK, unajipendekeza bure tu... hautambuliki hata kwenye mtaa wako,, unatoa sifa za kijinga na kujiita mzalendo? nadhani we ni mzalendo wa wajinga wenzako....
  8. msaka mahela

    Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

    we mtu wa pwani hujui chochote....kacheze ngoma zako na raisi wako wa puani...tumia akili kukoment...
  9. msaka mahela

    Barabara ya Moshi - Arusha yafungwa...

    polisi mkoani arusha imefunga barabara ya arusha moshi kuwazuia wanachi na wakereketwa wa chadema wa mkoa wa kilimanjaro ambao wanaingia mjini arusha kushinikiza kuachiwa kwa viongozi wao.....! habari zaidi zitafuata..................
Back
Top Bottom