Barua ya wazi kwa RPC Arusha

Kishongo nimefurahi sana kwa barua yako nzuri kwa unayemuita mkuu wa polisi wa mkoa.Tuwekane sawa tu katika jambo hili kuwa damu iliyomwagika wewe umeibariki na unaona fahari kutoa pongezi kwa kazi nzuri unayoiona wewe ilivyofanyika.
Nashindwa kuamini kama kweli wewe ni mtanzania ambaye babu zako kama si baba zako walikuwa wakihangaika kupigania uhuru wa nchi hii dhidi ya unyanyasaji,dhuluma,kukosa haki na kujitawala.
Huu si wakati wa kupongezana wakati watu wana masikitiko haijalishi unatoka katika kundi gani.
 
If you cannot find peace within yourself, you will never find it anywhere else

PEACE :describes a society or a relationship that is operating harmoniously and without violent conflict. Peace is commonly understood as the absence of hostility.
 
Ushahidi ninao kuwa wanakugongea na ukitaka kujua wewe ni nani na mkeo ni nani uni PM. Nakutajia ni kina nani wanakugongea ili tabia hiyo uache.
 
Kumbuka Andengenye alikuwa bodyguard wa IGP mstaafu Mahita ambaye aliwahi kutamka hadharani wakati akiwa IGP kuwa CUF wameingiza nchini container lililosheheni visu na majambia. Tutarajie nini kama nchi inaongozwa na watu wenye akili finyu kama hawa? Ni weledi gani alionao Andengenye wa kuua raia wasio na hatia ambao wanatembea njiani kwa amani pasipo vurugu zozote?

Machafuko na mauaji yaliyotokea Arusha ni matokeo ya viongozi wa Jeshi la Polisi kuongoza kwa kutii amri za viongozi wa CCM bila kuangalia madhara ya maagizo wanayopokea kutoka kwa viongozi hao.
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Unabahati.....mse......wewe......hujakatazwa kumsifia maana tunajua ndio mume mwenza kama sio baba wa kambo.....
 
Amani na utulivu haviletu kwa risasi za moto na mabomu . Chanzo cha amani na utulivu ni haki . Endapo polisi wataendelea kutendo mabavu ipo siku vituo vya polisi vitachomwa moto.
Ccm waangalie mgogoro ndani ya chama chao na kuepuka ushauli wa yusu makamba
 
utampa nini jK, unajipendekeza bure tu... hautambuliki hata kwenye mtaa wako,, unatoa sifa za kijinga na kujiita mzalendo? nadhani we ni mzalendo wa wajinga wenzako....
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.
 
koshongo nenda kanywe chai huko usituletee ushuzi wako hapa,
democracy ya kweli haiji bila mambo kama haya.tunadanganywa kwa mgongo wa amaniamani
huku wenyewe wanajilia tu.
nawafagilia wote chadema na nawapa pole watanzania waliokufa kishujaa.:director:
 
Hivi ujambazi wa kila aina hadi vibaka umewashuinda wamehamia kwa wananchi wao wenyewe Afadhali ya wakoloni hawakuwa watanzania/watanganyika, tunataka katiba mpya haya yote yawe addressed clearly tuone mwisho wao utakuwa umefika mtu kama kishongo huyu kichwa maji tutamwona!
 
Makuhadi wa ufisadi huwa hawana haya

Mnapenda kujificha katika pazia la 'ufisadi'. Huna hoja.
Unatetea vurugu ili upate fursa ya kupora mali za watu.
Muda unao lakini unaupoteza kwenye mambo ya kijinga.
Any way, siku moja mtaamka.
 
Mheshimiwa RPC

Salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini Arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe Kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika Tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu Ibariki Tanzania.

kny Watanzania Wazalendo.

Kwa jinsi unavyomsujudu huyo jamaa mwenye Phd Uchwara, ipo siku akiomba TIGO utampa.
 
Mnapenda kujificha katika pazia la 'ufisadi'. Huna hoja.
Unatetea vurugu ili upate fursa ya kupora mali za watu.
Muda unao lakini unaulpoteza kwenye mambo ya kijinga.
Siku moja mtaamka.

Siku ambayo jamaa ataamka wewe nadhani upofu ulionao ndo utakwisha!
 
Nashabikia nchi yangu. Wewe unashabikia umwagaji damu na kupoteza muda na nguvu kazi kwenye mambo ya kishenzi kama maandamano ya jana?

Wake up!

Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru sisi tunashindwa kutetea uhuru wetu kwa kutamani Deep Green na Meremeta. Tuna miongo mingine mitano ya kutoa matongotonngo ya ukoloni mamboleo.
 
mheshimiwa rpc

salaam.

Watanzania wote tunafuatilia kwa karibu yanayojiri sasa mjini arusha.

Tunapenda kukupongeza wewe na vijana wako kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi yetu zinafuatwa na kila mtu. Mmeonesha weledi (professionalism) wa hali ya juu.

Tuko pamoja na wewe kamanda. Tutalinda kwa gharama yeyote usalama na utulivu wa nchi yetu. Vitendo vya kihuni vilivyofanywa na viongozi wapuuzi wa cdm haviwezi kuvumiliwa kamwe. Aidha siasa za kishenzi hazina nafasi katika tanzania ya sasa.

Wazalendo tunaendelea kuchapa kazi katika kujiletea maendeleo yetu, hatuna muda wa kupoteza wala hatutapotoshwa na wanasiasa uchwara wanaotaka kutumia siasa kutimiza malengo binafsi.

Mungu ibariki tanzania.

Kny watanzania wazalendo.

ningekuwa popobawa ningejua cha kufanya, pusi wewe
 
koshongo nenda kanywe chai huko usituletee ushuzi wako hapa,
democracy ya kweli haiji bila mambo kama haya.tunadanganywa kwa mgongo wa amaniamani
huku wenyewe wanajilia tu.
nawafagilia wote chadema na nawapa pole watanzania waliokufa kishujaa.:director:

Afadhali hata ya Ushuzi, ni kwamba jamaa anaharisha kabisa!
 
Aidha ni UJINGA, Au UMEJISAHAU au UMELEWA Shibe, Demokrasia ni Ghali na ina gharama yake, HAKI SAWA KWA WOTE, Vyama vya Siasa vimeandikishwa kisheria na vina wanachama waadilifu , Na ni hiyari yao kuwa wanakutana bila kuvunja sheria. Ni kosa wanapoonewa bila sababu ya Msingi.Huwezi kuwazuia kwa kuleta Siasa za CHUKI, CHUKI Haina Nafasi.

Mi nadhani kanywa ulazi uliolala siku saba... Barua ya wazi kama yuko uwani anafanya mambo yetu yale...
 
Back
Top Bottom