Recent content by Msafirishaji

  1. Msafirishaji

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Tulikua tunamdai jamaa alete mashambulizi sawa sawa na mazayuni Kumbe Iran haikua ikishambulia mara kwa mara Nmeona mdau wetu Business Intelligent na yeye kaleta mara 2 tu siku nzima Kwahiyo matusi alikua anaporomoshewa bure tu.
  2. Msafirishaji

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Walikua wanakutukana bure tu bro kwa kutoleta mara kwa mara updates za Iran kupiga Israel Kumbe hakukua na mashambulizi ya mara kwa mara kama walivyokua wanataka Imagine kaja mtetezi wetu ndugu Intelligent na yeye anasimulia mambo ya houth kuwait iraq Wakati sisi tunataka kusikia tel Aviv...
  3. Msafirishaji

    Mahmoud Ahmadinejad Rais wa zamani wa Iran naye auawa

    —❗️🇮🇷 NEW: Iranian media confirm the death of former President Mahmoud Ahmadinejad in yesterday's attack @Middle_East_Spectator We jamaa hata hebu jiheshimu yani kati yako wewe na Iranian Media tumuamini nani? Hao Middle East Spectator ni kama online channel ya HAMAS unaona watatoa habari...
  4. Msafirishaji

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Hao wanavyopenda kukusanyika kama manyumbu Uzinduzi tu wa kisima cha mtaa au soko tu unaona Rais VP PM CJ SPEAKER CDF IGP DGIS CGI CGP na mawaziri wote Wapo zao chini ya maturubai na nyimbo za mpoto zinapigwa Ndege 1 tu inatosha kuanza upyaaaa
  5. Msafirishaji

    Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Sikuuuuu? mbona ndefu Sema ile dakika moja iliyomuondoa babu Ayatollah ndio kitu pekee tungemudu Kwa viongozi hawa wanaolilia kutopigiwa makofi wanamudu vipi hiyo pressure ya makombora
  6. Msafirishaji

    Pole sana Waziri Salum Rajab - kimekurambaaa!

    Siku nyingine soma halafu tembea tu ndugu mchumi.
  7. Msafirishaji

    PostGE2025 Makonda ateuliwa kuwa Waziri wa Habari, Simbachawane atenguliwa Uwaziri wa Mambo ya ndani ya Nchi

    2020 kuna barua ilivuja DGIS akimuandikia Katibu Mkuu kiongozi kuwa vijana wengi wanatoka kule kwenda kugombea ubunge moja ya majina ilikua la huyo bwana kwahiyo hayupo hapo kwa uchadema wake bali kwa utumishi wake kule kwingine.
  8. Msafirishaji

    Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Kwa mtu mwenye mtaji wa kati unaona bora ajenge apangishe aje auze Au awe ananunua maeneo anauza na kununua maeneo mengine.
  9. Msafirishaji

    Vijana, Kama Uwezo Upo Jengeni Nyumba za Kupangisha

    Mkuu naomba kuuliza Hivyo viwanja utaviuza kwa miaka 8? Sio ukiuza utanunua vingine halafu utauza tena Halafu mtu alouza 120M leo thamani ya pesa itakua sawa na 130M ya baada ya miaka 8? Nyumba kwa kipindi cha miaka 8 utakua umefanya maintenance mara ngapi? Ili iweze kubaki katika thamani...
  10. Msafirishaji

    Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Oya huyo anakipiga Belgium ujue 😄
  11. Msafirishaji

    Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Usiombe yakukute mwanangu mswalie mtume 😄
  12. Msafirishaji

    Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

    Kheri ya hao Waza beki zimbwe kapombe job baka kipa yule mpemba halafu inakuja hiyo mvua ya mashambulizi.
  13. Msafirishaji

    Kwa mtaji wa 50 Milioni nizalishe bidhaa gani niingize sokoni kuutafuta utajiri

    Mkuu unaweza kuja kujaza jaza nyama hapa Moja ya biashara nawaza sana hii
  14. Msafirishaji

    PostGE2025 Umoja wa Mataifa: Tangazo la Tanzania kukataza maandamano liondolewe

    Mzungu ashachukua,mali ngapi bila hayo maandamano wakati ile mikataba ya ovyo ovyo ya madini inaingiwa kulikuwa na maandamano gani? Mzungu hawezi kusubiri upigane ndio achukue hizo mali kwa,viongozi wenyewe corrupt hawa Mali zonazochukuliwa baada ya vurugu ni kwa viongozi wazalendo kama Libya...
Back
Top Bottom