Mahmoud Ahmadinejad Rais wa zamani wa Iran naye auawa

Hapo tofauti yako na wazuia wenzao wasile mchana ni ipi
Muda huu ninao andika sms 4.58am kuna wapumbavu wanabugia vyakula kisha wakiamka asubuhi wanajidai swaumu kali na kulazimisha wasio waislamu kushinda njaa...mnabadili muda wakula kisha mnajidai kufunga ..pumbafuu.
 
Wewe unapungukiwa wapi wenzako wakifanya mambo ya imani yao? Hata kuskip one meal bado ni kufunga, hata kuskip kunywa maji bado ni kufunga.

Ukijua maana ya neno IMANI huwezi kuwakejeli ndugu zetu waislam na funga zao.
Nimeishi Zanzibar, hawakatazi watu kula, ila wanazuia watu kula sehemu za wazi, ni utaratibu wa nchi yao na wakristo wanaoishi huko hawanabudi kuuheshimu.
 
Umefuatilia toka mwanzo wa komenti ?.....kula sehemu za wazi au kula kwa kificho ndiyo uislamu gani....? Hayo mafundisho ya hivyo yameandikwa wapi ndani ya msahafu? Tumia akili ukiona waislamu wenzako wapo kimya ujue wanajua ninacho zungumza..ndiyo maana unaona huyu ninaye chat naye hajapinga hoja yangu ...hicho kinacho fanyika Zanzibar kinabatilisha funga ya wazanzibar na nimetoa aya ndani ya msahafu.
 
Mimi sio muislam mkuu, ila unachowasema wala hakina mantiki.
Kwako au kwa muktadha wa kikristo, kufunga kuna maana gani?
Umeandika hoja, inaweza kujibiwa na yoyote wala sio lazima yule mliyekuwa mnabadilishana mawazo.

Kila nchi ina utaratibu wake, ukienda huko inabidi ukubaliane nao, kama hutaki huo utarqtibu unarudi kuishi kwenu tu.
 
Unajua kwa nini Yesu alisema ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari? Kuna utaratibu wa nchi na utaratibu wa Dini ya uislamu hapa tunaongelea dini ya uislamu ...msingi wa dini siyo taratibu za nchi ni dini yenyewe tumia akili .
 
Kuna mifumo, kila nchi inaongozwa kwa mifumo yake. Na nchi/serikali nyingi sana duniani zinaongozwa kupitia mifumo ya kidini.

Hata huu ukristo una mapungufu mengi sana, msipende kujiona mpo perfect kwa kuwakandia watu na imani zao. After all, it's just FAITH! Stay on your lane ili usisababishe ajali.
 
Duh,
Hiyo operation ya sasa imetekelezwa kwa ufanisi mkubwa sana.
Walichofanya Israel na USA ni kama kuuwa mjusi kwa shoka, wametumia nguvu kubwa sana kwa kazi nyepesi
Kama polisi bongo dhidi ya waandamanaji.
 
Kuna mifumo, kila nchi inaongozwa kwa mifumo yake. Na nchi/serikali nyingi sana duniani zinaongozwa kupitia mifumo ya kidini.

Hata huu ukristo una mapungufu mengi sana, msipende kujiona mpo perfect kwa kuwakandia watu na imani zao. After all, it's just FAITH! Stay on your lane ili usisababishe ajali.
Mimi siongelei mifumo ya nchi naongelea dini ..mbona una kichwa mbuzi🙄
 
Kuna nchi inaongozwa bila mifumo? Halafu, mind your language when arguing!!
 
Baba yako aliuza ng'ombe kuku somesha kumbe kauza ng'ombe kusomesha ng'ombe 🤔
 
Dalili mbaya hizi, you can't even argue. Unadhani kutumia lugha kali ndio utafikisha ujumbe. Work on your psychology mkuu.
 
Kama umekataa kutumia akili wewe ni zaidi ya ng'ombe...umeshindwa kujua tofauti ya dini na sheria za nchi na sheria za nchi zenye milengo ya dini ....NIMESEMA KWA MUJIBU WA DINI YA UISLAMU...KUMSHURUTISHA MTU KUTO KULA ASIYE WA HIYO DINI NI HARAMU NA KUNABATILISHA FUNGA YAKE HUYO ANAYE SHURUTISHA NA AYA NIKATOA WEWE BOGAZI UNAKUJA KUBISHA UPUMBAVU.
 
Yupo.msaliti lanaye wapa infomation, akini hi habari hi si kweli si kila wanacho ongea Israel na USA mkiamimi. Mahamoud Ahmednejad yupo hai ana kula life kama kawaida.

—❗️🇮🇷 NEW: Iranian media confirm the death of former President Mahmoud Ahmadinejad in yesterday's attack

@Middle_East_Spectator

We jamaa hata hebu jiheshimu yani kati yako wewe na Iranian Media tumuamini nani?

Hao Middle East Spectator ni kama online channel ya HAMAS unaona watatoa habari wasiyoipenda kama hii.
 
Hizo media zipi za Iran zilizo sema kafa hi hapa media tena hawa wako against Iran government wanasema yuko hai wewe ndio jiheshimu hizo media unazo quote zingine ni za Israel wanadai za Iran.

Hi channel ya Saud Arabia ina support sana daima Israel pia wamekanusha yuko hai we sikiliza propoganda za Trump na Netanyahu tu

Aljazerea pia wanasema yuko hai

Shida yenu waisiharamu ni unafiki...mna halibu funga zenu kwa kupotoshwa na mashehe ubwabwa wasio jua hata dini yao . Mimi siyo muislamu ila naweza kukuonyesha ni kwa nini ukimlazimisha asiye muislamu kutokula kwa sababu wewe umefunga basi funga yako inakuwa haramu na batili (imehalibika)..kama mna bisha kuwa funga za wazanzibar siyo batili someni hii hadithi kwa kutumia akili mtajua ninacho eleza
💥👉HADITHI HII INAPATIKA KATIKA SAHIH BUKHAR...Kitabu cha 60....hadithi ya 3463, na katika SAHIL MUSLIM, kitabu cha 49, hadithi ya 4935 adriz FaizaFoxy Bwana Utam Al-mukheef @jaginq Covax Malaria 2 OHB11

Hii ndiyo hatari ya kuabudu mtu mwenye baba wawili

1772788708913.png
 
Back
Top Bottom