Recent content by Msababishaji

  1. M

    JamiiForums Tanzania KEAR: Kampuni ya kitapeli yatapeli serikali na wananchi jijini Mbeya

    Isee huyo jamaa ni tapeli hatari ni mwizi mkubwa hafai.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mabinti?

    Mabinti hulilia sana kuolewa. Lakini wakiolewa tu vituko, Mara anawasiliana na x wake mara migogoro kulikoni?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ya phonebook hayo

    Hahahahaha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ananilazimisha kulala bila nguo

    Mwanaume hatoi siri za ndani,kwanza hujui ndoa ni chama cha walala uchi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka

    hata mabondia wakipigwa sana za uso huwa sura inakomaa hata upige na nondo haiumi.jamaa itakuwa katendwa sana ashazoea.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa fitina P square chali.

    atakuwa mmachame tu au jamii hiyohiyo
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Kwanini mnapenda kuvaa chupi na khanga pekee yake?

    Mlivyokomaa,watu tunapiga mautundu,foreplay kwa sana,mlio wa njoo kwa sana lakini mwisho wa siku unaambiwa umeniacha
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo ni vyema kuomba ruhusa kwa mwenzi wako kabla ya kufanya...!

    Nipo mpole,nimeguswa xana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinacho waumiza akina dada wengi katika mahusiano...

    Na huwa hawabadiliki,hata walio kwenye ndoa ukiwaeleza ukweli watanuna siku mzima,piga porojo ahh wasikia rahaa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara jeshi la Polisi

    usikate tamaa,kama mshahara ungekuwa mdogo watu wangeacha.ingia ukiona ovyo sepa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Habari ya kujifunza

    Hakika michepuko nouma.JIHADHARI
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wababa mukichepuka musitoe dozi kubwa...Tunachanganywa

    Hahahaha tatizo lenu wadada mnapenda xana shobo mabitooozi xana mkitulia mtatupata wataalamu wa hiyo k2.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli 8 ambazo mwanamke akizitoa jihadhari sana

    Wengine wazugaji tu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vituko vya wanafunzi ndani ya mitihani!

    mm nikiwa udsm mshikaji aliniomba msaada nikamwambia asubiri,jamaa akaona anachelewa akavuta paper yangu. nilichoka
Back
Top Bottom