Ubongo wa wanaume unawalazimisha kulala baada ya tendo

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,841
Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu baada ya kumaliza tendo wanasayansi hao wamebaini kwamba, kwa sababu za kimaumbile ubongo wa wanaume unawalazimisha lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni katika kuepuka lawama hizo, kwamba, kumbe siyo hiyari yao, bali ni maumbile.

Wanasayansi hao wamebaini kwamba, kwa sababu za kimaumbile ubongo wa wanaume unawalazimisha kulala muda mfupi baada ya kushiriki tendo la kujamiiana.

Katika utafiti wao wanasayansi hao walibaini kwamba, kwa jinsi ubongo wa mwanaume ulivyotengenezwa, pale wanapomaliza tendo la kujamiiana na kufika kileleni kuna eneo linalozimika na kuwafanya kupata usingizi.

Wakati hilo likitokea kwa wanawake hali ni tofauti, kwani wao hubaki wakikodolea macho dari wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali lukuki, wakijihisi kutowaridhisha wapenzi wao.

Utafiti huo ulifanyika kwa kuhusisha kipimo cha kumulika, maarufu kama scan, ambapo kilitumika kuwamulika wanaume katika ubongo wao pale wanapofanya tendo la kujamiiana na baada ya kumaliza kujamiiana na kufika kileleni na kubaini kwamba, eneo linalojulikana kama cerebral cortex, eneo linalohusika na ‘fikra' huzimika baada ya mwanaume kufika kileleni.

"Utafiti huu unatupa matokeo ya kile kinachotokea ndani ya ubongo pale mwanaume anapofika kileleni."gazeti la mirror lilimnukuu mwanasayansi mmoja wa serikali ya ufaransa aitwae serge stoleru.

"Lakini kwa wanawake inaonekana ni tofauti kabisa……" aliongeza kusema mwanasayansi huyo.
mwanasayansi huyo aliendelea kusema kwamba, wanawake hushangazwa sana na jambo hilo na ndio sababu hubaki wakiwashangaa wapenzi wao wanapolala baada ya kumaliza tendo il hali wao wakitaka zaidi….

Kwa hiyo hakuna sababu ya wanawake kuwalaumu tena wanaume baada ya kumaliza tendo na kulala kwa sababu hivi sasa wameshajua sababu, watuache tupumuwe……
 
huuu ni ukweli Kibo10 hasa kama mwanaume atapata mechi ya utulivu iliyotulia na mazingira mazuri na kufika kileleni yeye na mpenziwe

ni halali kulala tna usingizi mziiito raha sana ila wnawake tunatakiwa kuwa waelewa na kujua hiyo khali kwa hyo nikulala nae huku mmekumbatina au kumwekea mkono kama anapenda
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo kuanzia leo niache kulalamika? lolz

Yaaa best akilala jua kafikishwa na akili yake imetulia
Tatizo litakuja kama hajakufikisha wewe cos utabaki unahesabu Kenji...ila kama umefika oooh mkumbatie mlale kwa raha zenu
 
Yaaa best akilala jua kafikishwa na akili yake imetulia
Tatizo litakuja kama hajakufikisha wewe cos utabaki unahesabu Kenji...ila kama umefika oooh mkumbatie mlale kwa raha zenu

Mechi ikiwa tamu na wote mkifikishana lazima wote mlale,shida vile vya fasta vileeeee...!!!.vinakuwa ni vitamu wakati ukihitaji tena mwenzio anakoroma....!!!lol
 
Mechi ikiwa tamu na wote mkifikishana lazima wote mlale,shida vile vya fasta vileeeee...!!!.vinakuwa ni vitamu wakati ukihitaji tena mwenzio anakoroma....!!!lol

Hapo nimekupata best vile vya fasta afu haunganishi round haaaaa unaumieje.
Acha kabisa unabaki unatoa mimacho tuu
 
Yaaa best akilala jua kafikishwa na akili yake imetulia
Tatizo litakuja kama hajakufikisha wewe cos utabaki unahesabu Kenji...ila kama umefika oooh mkumbatie mlale kwa raha zenu

bora ungekuwa mpenz wangu ww cos mpenz wangu hapend nilale anasema siliziki naye japo nampa hyo elim lakn bado haamini unaonaje uwe mke wangu ww
 
Mm huwa silali kile cha asubuhi tu nkishapata ndio nmeamka moja kwa moja
 
bora ungekuwa mpenz wangu ww cos mpenz wangu hapend nilale anasema siliziki naye japo nampa hyo elim lakn bado haamini unaonaje uwe mke wangu ww

Tuma maombi
Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom