Nakumbuka pepa ya banking law chuoni, kwavile lilipangwa kuwa la mwisho kati ya mitihani yooote ss watu janayake c wakakesha club ili wakija wapige waue maana likizo time inafuata. Kama kawaida keshoyake saa 2asbh prof. kaingia exam room na kuanza kugawa pepa bas jamaa mmoja baada tu ya kugawiwa lake akamwita tena sorry ticha, ticha akaja, jamaa kamwambia kwa sauti kubwa hii co bili yangu, hlf akaanguka kutoka kitini had chin, bas darasa zima kwi..kwi.. kwi, ss prof. kauliza anasemaje huyu? Watu huku wanambeba frm class to hostel ana malaria tokea jana ticha! Hlf huyo jamaa na kichwa hataree alipangiwa pepa yake sk nyngine akapasua A