Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,092
- 34,903
mkuu ukitandikwa sonyo je!?
Unatisha bibie kichunafk wanawake kweli wanatulia jamani?
Mi nlikuta anachat na mabebs tena text tata tu. Nikahoji akanijia juu, na kwa mbwembwe akasema nisi control the next thing I will do is on progress namtizama tu. Nishaongea nae kiustarabu naona ananiona mjinga. Nlishamwambia hivyohivyo endelea, sitakuuliza wala sitakufatilia na anaonekana mwenye hofu ila moyo ushachoka nimeyavumilia mengi. Sasa kifuatacho ITV hataamini maana an ananichukulia poa.mie nimetulia sana siku hizi sina campany amabazo hazipendi, mitoko ya usiku nimepunguza kwa 95%, namuheshimu more that i have respected any man, apart from my dad. Ananizingua but namvumilia.
Mara nyungine nakuwa kama sijiamini hivi kama mie ndo ninafanya haya lakini ndo ukweli, sasa mtu anaona uko umetulia ndo analeta zengwe, aisee...atahadithia incase asiposikiliza maneno yangu
Mi nlikuta anachat na mabebs tena text tata tu. Nikahoji akanijia juu, na kwa mbwembwe akasema nisi control the next thing I will do is on progress namtizama tu. Nishaongea nae kiustarabu naona ananiona mjinga. Nlishamwambia hivyohivyo endelea, sitakuuliza wala sitakufatilia na anaonekana mwenye hofu ila moyo ushachoka nimeyavumilia mengi. Sasa kifuatacho ITV hataamini maana an ananichukulia poa.
mzizimkavu TUKUTUKU kakufanya nini si washawasha ndo kasema au naye ni case study kwa bwana washawashaUsimpige Mwanamke mwanamke huwa hapigwi hata kidogo unamwambia tu atakusikiliza . Mwanamke ni kama uwa na ni pambo la mwanamme kwanini umpige kipenzi chako? Mkuu TUKUTUKU acha tabia mbovu ya kupiga wanawake.
Sure wanaume wengine ukiwa na kazi ni shidaa hata awe na uwezo kiasi gani hatoi kitu umenikumbusha my x janga la taifa
teh teh nimeipenda hyo! ndio dawa yaoTeheeee stable woman mie kabla sijapigwa mzinga najisemeshaje... kila siku shida haziniishi... mpenzi si unakumbuka nilikopa kumsaidia mama pale home... yaani mwezi haukutani mpenzi wanguuu, halafu mama miguu inamsumbua siku hizi... dah sijui hata ntafanyaje hapa inabidi ni save nipate hela nimpeleke kwa specialist wa mifupa kabisaaaa.... lol mwanaume bahili hapo lazima aage! Mie Mfyuuuuu....!
Enhe bect yangu masaidada uliwezaje kuishi na huyo x wako hebu nipe darasa kidogosio lazima mwanaume akupe pesa lakini kama hakupi jua kuna anaempa take it from me NJIA YAKO KUU MCHEPUKO WA MWENZIO
Enhe bect yangu masaidada uliwezaje kuishi na huyo x wako hebu nipe darasa kidogo
hawa watu jamani, mi wangu alianza visa mara anarudi usiku wa manane basi nikasema weeee hd nikachoka. Mungu saidia nikawa nimejifungua nikawa busy na mwanangu na nikaacha kbs kufatilia hbr zake yaan ht akirudi asb simuulizi japo nilikuwa naumia sn,siku moja akaniuliza mbona huwa simuulizi anapokuwa? Na mm nikamjibu kuwa yy si mtoto mdogo wa kusema hd mm nianze kuhangaika nae na isitoshe anajua anachokifanya. Wa kunihangaisha ni mtoto lkn si yy,jaman tangu siku hiyo anawahi kurudi ht visa vimeisha na mm wala sijamwambia kitu niko namwangalia tu,anajistukia tu kwa kila anachokifanya.inaboa sana aisee. Ila iko hivi, ukishamdharau matendo yake na kutokumfatilia mwenyewe atakiona. Halafu ukiamua hvyo yaan unajikuta mtu ushamtoa moyoni kabisa so apige simu asipige waona sawa, afanye afanyavyo wewe unakuwa moyo ushakufa ganzi na hapo mapenz yanakuwa hakuna tena
hawa watu jamani, mi wangu alianza visa mara anarudi usiku wa manane basi nikasema weeee hd nikachoka. Mungu saidia nikawa nimejifungua nikawa busy na mwanangu na nikaacha kbs kufatilia hbr zake yaan ht akirudi asb simuulizi japo nilikuwa naumia sn,siku moja akaniuliza mbona huwa simuulizi anapokuwa? Na mm nikamjibu kuwa yy si mtoto mdogo wa kusema hd mm nianze kuhangaika nae na isitoshe anajua anachokifanya. Wa kunihangaisha ni mtoto lkn si yy,jaman tangu siku hiyo anawahi kurudi ht visa vimeisha na mm wala sijamwambia kitu niko namwangalia tu,anajistukia tu kwa kila anachokifanya.
mkuu yani hacha tu, toka siku hiyo hiyo niligundua kukaa kimya muda mwingine inasaidia sana.Hahahahah
Ulijifanya umepinda eeeh???