Mshahara jeshi la Polisi

Mshahara jeshi la Polisi

Status
Not open for further replies.
week iliyopita form za kujiunga porisi kidato cha sita zililetwa...naomba kuuliza hivi ukimaliza mshahara ni bei gan????

samahani lakini

na ukianza kazi unakuwa na ajira ya mkataba mpaka ipite miaka 12 ndo unakuwa mwajiriwa rasmi
 
week iliyopita form za kujiunga porisi kidato cha sita zililetwa...naomba kuuliza hivi ukimaliza mshahara ni bei gan????

samahani lakini

80000 tu ndio wanaolipwa njaa tupu asikudanye mtu pension milioni saba kwa konsitable bora ulime tu bora ualimu pension milion sabini
 
Du! Aise kama ni mshahara ni huo 80000 kwa kweli polisi kisheria anafaa Achunge Raia na mali zake je kwa hali hiyo watatuchunga au watatuchuna Ukweli? Tunaomba muheshimiwa Rais ungewaangalia hata kima cha chini kabisa wangepewa laki tano halafu hii katiba mpya ipitishe Miraaa watu wale kama zamani maana kero kubwa mtu uko kwenye starehe zako unajenga gorofa yako kichwani unaambiwa eti wewe unakula maadawa ya kulevya ambayo si kweli maadawa ya kulevya ni mfano hai ni sigara kwasababu inazuru afya yako hata juu ya kasha imeandikwa na huku madukani ipo na tunauziwa halali kisa Waheshimiwa wana hisa ndani yake labda. Nchi jirani tu hapo uganda hii Miraa kweli imepigwa marufuku lakini wameona miraa imepunguza sana uhalifu sana kila saa jamaa wakitaka kuja kuiba wanawakuta washikaji wako full Active inabidi warudi tu kwa hii sirikali waache kuwaonea Askari wetu ni wazuri sana na wana uvumilivu sana na mungu awape hivyo hivyo one day yes mshahara utafika juu zaidi subra muhimu na kuweni waadilifu kimbizaneni na majambazi na si wala Miraa
 
Hivi kweli pombe pia inafaa iwekwe kwenye katiba mpya kuwa ni madawa ya kulevya jamani haaa angalie hii Du ni noma
 
Nilikuwa nataka kutuma video jaamaa alivyokunywa pombe inavyo msumbua nimeshidwa kama kuna mtaaalam anipe maelekezo asante
 
Du! Aise kama ni mshahara ni huo 80000 kwa kweli polisi kisheria anafaa Achunge Raia na mali zake je kwa hali hiyo watatuchunga au watatuchuna Ukweli? Tunaomba muheshimiwa Rais ungewaangalia hata kima cha chini kabisa wangepewa laki tano halafu hii katiba mpya ipitishe Miraaa watu wale kama zamani maana kero kubwa mtu uko kwenye starehe zako unajenga gorofa yako kichwani unaambiwa eti wewe unakula maadawa ya kulevya ambayo si kweli maadawa ya kulevya ni mfano hai ni sigara kwasababu inazuru afya yako hata juu ya kasha imeandikwa na huku madukani ipo na tunauziwa halali kisa Waheshimiwa wana hisa ndani yake labda. Nchi jirani tu hapo uganda hii Miraa kweli imepigwa marufuku lakini wameona miraa imepunguza sana uhalifu sana kila saa jamaa wakitaka kuja kuiba wanawakuta washikaji wako full Active inabidi warudi tu kwa hii sirikali waache kuwaonea Askari wetu ni wazuri sana na wana uvumilivu sana na mungu awape hivyo hivyo one day yes mshahara utafika juu zaidi subra muhimu na kuweni waadilifu kimbizaneni na majambazi na si wala Miraa

Umesema vyema lakini kumbuka si wote wengine kama asilimia 40% ni wala rushwa, waonevu, wanashirikiana na majambazi, ni majambazi, wanyang'anyi, wauaji, wanabambikizia kesi, wanatoa ushahidi wa uongo na wanatumia uniform waliopewa kulinda taifa kuomba mapenzi wanawake wenye kesi kwa kuwaahidi wakiwapa penzi mambo yote super
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom