Kuna baadhi ya watu wana kasumba ya kuteta kwa lugha isiyofahamika vizuri na wote katikati ya mazungumzo ya kundi lenye mchanganyiko wa watu.
Nataka kusema kwamba, wakati fulani mnaweza mkawa kwenye kundi la watu watatu au zaidi mnafanya mazungumzo ya kawaida kabisa, na lugha inayowaunganisha...
Inaweza kuwa kweli kwamba gazeti lina agenda iliyofichika dhidi ya RC Makonda hasa baada ya Manji kutuhumiwa kuhusika na biashara haramu ya madawa ya kulevya!
Hata hivyo, hisia za namna hii hazipunguzi au kuondoa umuhimu wa kufuatilia elimu ya makonda inayodaiwa kuwa amegushi!
Mi nadhani cha...
Hapo ndipo ulipo utamu na upekee wa taaluma ya sheria!
Hao ni watuhumiwa tu Kaka, hawana hatia yoyote hadi hapo mahakama itakaposema vinginevyo. Kwa sababu hiyo wana haki ya kutetewa na wakili! Kama wangekuwa na hatia wasingepelekwa mahakamani badala yake wangepelekwa segerea moja kwa moja!
Mkuu, nimependa historia uliyoitoa; nakuunga mkono 100% kwamba mifarakano ya kimadaraka katika makanisa yote ya kiprotestanti, likiwemo Kanisa la ANGLIKANA (yaani Kanisa la Uingereza) ni laana itakayowafuata daima. Naomba kuongezea kidogo kwenye historia uliyotoa na kutaja kwa usahihi zaidi...
Someni Kitabu kinaitwa HOW TO WIN FRIENDS AND INFLUENCE PEOPLE, kipo online kimeandikwa na Dale Carnegie, utakifurahia sana. Kwa maoni yangu hiki ni kitabu cha karne. Kinahusu sayansi ya mahusiano yetu ya kila siku na watu wanaotuzunguka. Ukisoma mara moja hautaacha kukirudia tena na tena!
Ndio mkuu!
Tutamkumbuka kwa KATIBA SHINIKIZWA aliyoiandika kwa mgongo wa CCM!
Dhambi hii na iwe juu yake na maswahiba wake! Mungu amhukumu sawa sawa na alivyoutendea umma wa watanzania na vizazi kwa vizazi vijavyo!
KATIKA HILI SIPENDI UNAFIKI WA KUJIFANYA KUMSIFIA MTU KAMA MAREHEMU SITTA!
Ndio mkuu!
Tutamkumbuka kwa KATIBA SHINIKIZWA aliyoiandika kwa mgongo wa CCM!
Dhambi hii na iwe juu yake na maswahiba wake! Mungu amhukumu sawa sawa na alivyoutendea umma wa watanzania na vizazi kwa vizazi vijavyo!
KATIKA HILI SIPENDI UNAFIKI WA KUJIFANYA KUMSIFIA MTU KAMA MAREHEMU SITTA!
Umenena vema mkuu!
Umetoa hoja ya maana ambayo mtu yeyote mwenye uzalendo hata mdogo kama punje ya haladari atakubaliana nayo. Ila wasiwasi wangu ni kwamba hapo ulipogusia suala la katiba, umegusa maslahi ya baadhi ya watu wasioitakia mema nchi yetu, nadhani wanajipanga na muda si mrefu watakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.