Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,914
Katiba yetu imepitwa na wakati
kweli kabisaKatiba yetu imepitwa na wakati
Mkuu una maana kwamba unaunga mkono kitendo cha DC Hapi kuingilia maamuzi ya mahakama, au nimekuelewa vibaya?MUACHENI DC HAPPI.....MPAKA SASA ANAENDA VIZURI TU....
OVA
Hiyo barua na mimi nimeiona na imenishangaza sana. Anyway hilo agizo lake halitekelezeki kapoteza muda wake. Hapo Tribunal ni haina tena mamlaka ya kuisikiliza kesi hiyo labda kama wanafanya review pale pale au appeal tu basi.Wote wanaotumbuliwa wanatumbuliwa kwa haki. Huyo Hapi hawezi kutumbuliwa kwa majungu ya PM
Kwani aliyekwambia mimi CHADEMA nani?kWA HIYO KWA AKILI ZAKO ULIZOBAKISHIWA NA AIKAEL wewe unaona WASAFI wapo CHADEMA??????jiangalie wewe kwanza usafi wako ndipo utakapogundua wasafi wapo wapi
Vivyo hivyo utawala bora unahimiza kutoingiliana kabisa kwa mihimili ya dola yaani Serikali na Mahakama katika kutekeleza utawala wa sheria. Hili sio LA kufungiwa macho kabisaHa haaaa kwani nani hajui kuwa maDC wa Magufuli na hata ma RC wanaishi kwa dili kama hizi za kulazimisha dhuluma ili wapate rupia. Mimi nasema Magufuli hakukesha kama anavyotuaminisha kuwapata hawa watu kwani wengi wao ni wasanii na wala rushwa kuliko wale waliotangulia. Wana kiu ya ajabu ya mali.
Ipo siku tutaonana MkuuKati ya watu ambao natamani kuwaona katika Maisha yangu ni mzee tupa tupa Hahaha