Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Moshi Kilimanjaro nina mke na watoto 2 najishuhulisha na biashara mbalimbali ili kukidhi mahitaji yangu yakila siku..
Nahitaji marafiki wa kike wakuchat na kubadilishana mawazo kama dada upo tayari karibu PM unitumie sms tupeane namba sichagui dini wala umri...
Pole sana dada yangu karibu tuwe marafiki, mimi nina mke na watoto wawili ila nina imani urafiki wetu hautaharibu amani yako wala ya familia yangu maana mimi nimtu timamu please karibu inbox tuongee zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nawashauri waombe mawazo na utaalam kutoka kwa wale wataalam wa usafiri wa ungo kwamba wao hufanyaje hata wakianguka hawafi maana sijawahi sikia mtu ameanguka na usafiri wa ungo akavunjika au kufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mwanaume nipo Kilimanjaro, nimejiajiri natafuta marafiki wa kike tu wawe wajasiria mali. Lengo ni kubadilishana mawazo kwani mimi naamini kua nahitaji sana ushauri kutoka kwa wanawake kwani wanawake ni mama zetu, dada zetu, shemeji zetu na hata wake zetu hivyo naamini tutakua tunapeana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.