Recent content by MrPresident

  1. M

    Simba yakataa kucheza na Yanga, kisa ni waamuzi. Yataka waamuzi wa nje

    Najua Yanga kwa vile wamelewa na kubebwa ... wapo tayari simba isitokee uwanjani . Na simba bora kugoma , mechi ya goli la mkono ilidhihirisha yeboyebo wanabebwa.
  2. M

    Russian firm plans to build research nuclear reactor in Tanzania

    Sasa naona tunaanza kutafuta ugomvi nna wazungu . wasije tu kutuletea machafuko.
  3. M

    Shahada ya Sheria imeshushwa hadhi na Tume ya Utumishi wa Mahakama

    Mleta mada na wengi mliochangia ni pointless tupu!!! Wewe una degree ya kilimo, unataka uombe kazi ya Uhasibu, eti kisa wanamtaka mhasibu mwenye degree na wewe unaenda na degree yako!!! Najua wengi hamtanielewa namaanisha nini.
  4. M

    Meet the person who executes the death penalty in Uganda - Luzira Prison

    Mshahara wa zambi ni mauti. The wages of sin is death.
  5. M

    Majambazi wavamia Benki ya Stanbic tawi la Mayfair, Msasani

    Wakati mwingine najiuliza hivi hawa majambazi na mafisadi wanaoiba mabilion ya walipa kodi, kuna tofauti?
  6. M

    The 8 Richest African Presidents and Kings as of 2014

    Nimegundua nyie mnaobishana kuhusu utajiri wa nchi bado hamjui mnachobishania, 1.kuna tofauti ya biggest economy. 2.kuna tofauti ya richest country. HIVI NI VITU VIWILI TOFAUTI. Unaposema biggest economy country in the World. USA ndio inaongoza ikifuatiwa na CHINA ambayo ni ya pili...
  7. M

    Jambazi sugu lenye kuwaibia na kuwaua wanawake Arusha lauawa!

    Sasa mnasema picha hazifai hata kuwekwa ktk mitandao maana anatisha kwa majeraha ya risasi!!! Na polisi wanasema walikuwa Wanamkimbiza hospital kwa matibabu, hivi kuna ukweli hapo. Ok karushiana risasi na polisi, je yupo police aliyejeruhiwa hata mguu? Au jamaa hana shabaha?!!! Kwa kumalizia tu...
  8. M

    Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

    Hiyo kweli ni hatari sana, sasa Tanzania inageuka nchi ya kihalifu kama south Africa. Maana matukio ya kuuana yashazoeleka sasa.
  9. M

    Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

    Du, kumbe jamaa hata elimu ya Form iv hana!!! Sasa hapo tusimlaumu, ametoa hoja inayolingana na uelewa wake mdogo.
  10. M

    dawa ya boko haram imeishapatikana leo!!

    Wewe kweli hujui kinachoendelea Duniani!!! Nani kakudanganya kuwa Israel imewashindwa Hamas, ni miaka sasa Hamas wameufyata mkia na Israel inaendelea kujenga makazi ya wayahudi bila kusikiliza UN au human rights watch wanasemaje. Kumbuka hamas ikiua Myahudi mmoja, Israel inaua wapalestina wengi...
  11. M

    Nigeria rejects Boko Haram prisoner swap for hostage schoolgirls

    Kiongozi yeyote Duniani mwenye akili timamu hawezi kukubaliana na matakwa ya Magaidi!! Hongera sana Nigeria.
  12. M

    Nigeria rejects Boko Haram prisoner swap for hostage schoolgirls

    Kiongozi yeyote Duniani wenye akili timamu hawezi kukubaliana na matakwa ya Magaidi!! Hongera Nigeria.
  13. M

    ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

    Ujue hapa ndio ninapojua kuwa hutumii akili, jamaa amekujibu vizuri sana, kutumia acronym au abbreviation lkn ina maana nyingine ni sawa tu! Ili mradi tu kusiwe na chama kingine husika ndani ya nchi hiyo hiyo kinachofanana abbreviation na Chama hicho kinachohitaji usajili. Nakupa mfano hai, USA...
Back
Top Bottom