dawa ya boko haram imeishapatikana leo!!

Isije kuwa kama ndege ya malysia zilianza kelele nyingi mwisho kimya, hao islael ni wakawaida subiri siku marekani akitoa mwamvuli wake utaona kichapo atakachopata
 
Afrika hii hata baada ya miaka hii tuko hoi hata kiusalama mpaka tusaidiwe, tunaweza kuiba iba tu basi..
 
Isije kuwa kama ndege ya malysia zilianza kelele nyingi mwisho kimya, hao islael ni wakawaida subiri siku marekani akitoa mwamvuli wake utaona kichapo atakachopata
inasemekana hakuna cha mateka na kama wapo si idadi inayosemwa kwani huwezi kuficha kundi kubwa la watu zaidi ya 200 wasionekane hata kama msitu mnene vipi kwani kuna vifaa kama heat tracking signature vingewapata tu
 
kwa taarifa tu wakenya waligoma msaada na walioingia ndani ya wastgate na Kenya Defence force na wale special force yao ambapo baada ya kuuliwa kamanda wao walisusa na kutoka na kuwaacha KDF ndani na hawakuokoa kitu zaidi ya kunywa pombe mle supamarket.[/QU
nilishangaa sana watu watatu wakatikisa jeshi zima afu tena jamaa wakasepa hata bila kutambulika!! Ila mosad waliwaambia wawaachie ile kazi dakika kadhaa ingeisha ila KENYA DRINKING FORCE WAKALAZIMISHA MATOKEO YAKE WAKATWANGANA RISASI WAO KWA WAO afu wakachoma na jengo kabisa duh!? Ila najua kenya itabidi ilipe
 
hao jamaa ni hatari sana sio binadamu wa kawaida makomandoo wa tatu tu walitosha kuwaokoa raia kibao waliotekwa na iddi amini uganda raia hao walikua ndani ya kambi ya jeshi la uganda ndani ya dakika tano tu raia hao waisraeli wakipandishwa helkopta na kusafirishwa
 
Westgate ni ya waisraeili(60% owner/investor)na walihusika kuokoa 100%...kama haujui sema ufahamishwe!

kuwa ya waisrael sio sababu ya wao kuingia kufanya uokozi wa kimaambano. ingekua ndivyo nchi zingekua zinakwenda kuokoa raia wao katika mataifa mengine kwa sababu tu ni raia wa nchi hizo. sasa kwa kukusaidia wewe ilikua hivi. Israel baada ya kuangalia na kuona mazingira na hali nzima ya kilichokua kinaendelea (Situation assessment) waliamua kuchukua operation nzima wao wenyewe bila kuingiliwa jambo ambalo Kenya walilikataa wakitaka na wao wawe katika operation hiyo. Israel wakaamua kujitoa ila kimsingi Izrael walisema operation ile ilikua ndogo sana haikuhitaji kuhusisha jeshi na askari kwengi kiasi kile. Serikali ilipokataa wakajitoa na kuondoka zao. hivyo ndivyo ilivyokua. mimi najua westgate ni ya waisrael sawa lakini hawakuhusika katika uokozi kwa sababu tu ni ya kwao (huyo mama wa kiyahudi) anaeimiliki ila walihusika kwa uzoefu wao ingawa baada ya kupishana na serikali ya kenya walijiondoa. na pale hamna uokozi uliofanyika ila magaidi walipotelea katika hewa nyepesi hakuna cha kusema serikali iliwashinda au iliwaua au iliwakamata. It was a failure operation wala si ya kujisifia.
 
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!

halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.

Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.

Inajulikqna kama Westgate na siyo water gate, vita vya uasi ndani ya nchi ya Nigeria Israel hawaviwezi subiri utaona
 
Wachinjiliwe mbali washeezi sana hao haram
 
Mleta mada na wengine mliondelea kuchangia hicho kitu machokiita "Watergate" ni kitu gani? Kwa ufahamu kwangu Waisrael ndio owners wa Westgate ya Nairobi iliyovamiwa na Al Shabab.

Tiba
 
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!

halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.

Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.

Kumbe!! Sasa siku 4 zote zile walizokuwa wanasema hao magaidi bado wapo WASTE GATE na wanawashikiria watu kadhaa na vyombo vyote duniani vikifanya live coverage ilikuwa ni ya kazi gani wakati hao waisraeli waliwakomesha hao magaidi kwa masaa ma4 tu?

Tafadhari jamani tuiheshimu JF, hizi habari zenu za kwenye vijiwe vya kahawa mgekuwa mnavimalizia huko huko tu vijiweni.
 
serikali ya nigeria ingekuwa serious walau kiddogo hata kusingkuwa kuwa na uhitaji wa nchi za nje kuja kuwasaidia wao wenyewe wazngeweza kuwakomboa haoa wasichana
 
Nigeria army is the most corrupt organization ktk hii dunia....Nilikua nafatilia kwanini BOKOHARAM watambe kiasi hiki kumbe jeshi la Nigeria limegawanyika na halina morare kabisaa ya kupambana na hawa japokua ni jeshi kubwa baran Afrika kwa idadi na pia lina vifaa vya kisasa kabisa na wanajua ni wapi hao mabinti walipo lakini kulingana na mgawanyiko uliopo basi kila kitu ni bora liende...Yani ata ukichukua vijana wetu wa JKT bado wataweza kuinflict very big loss to BH...kwa apa sio US,UK,FRANCE,CHINA wala ISRAEL ambao watawapa morale zaidi watawapata hao mabinti kiurahisi tu kwani wana drone na satellite japo ata Nigeria anaoparate drone lakini ndo bora liende
 
Nasio kuoperate tu,nigeria ndo nchi ya kwanza africa kujitenezea drone yake.
 
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!

halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.

Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.

Umesahau kichapo walichopewa hao wisrael na vijana wa HIZBULLAH huko lebanon mpaka leo hawsogei tena ....vipi kuhusu HAMAS pale PALESTINA mbona wameshindwa kuwamaliza....acha ushabiki mbuzi wewe.....!!!
 
jeshi la Nigeria ni kama la DRC wakati ule m23 walipokuwa wanatamba. Hawana maadili na morale kabisa.
 
Baada ya taifa la Israeli kutangaza kuwa litaisaidia Nigeria kuokoa Boko Haram-basi huo umeisha kuwa mwisho wa boko haram. Tazama mwenyewe waisrael walipoingia Kenya kuwanyamazisha wauaji wa water gate walipokuwa bado wanapiga risasi golofa ya pili. ni masaa manne 5u walitumia kukomesha kiburi chao!

halafu Israel ndio iliyoisambaratisha the Black september mwaka 1972. baada ya black septrember kuwauwa wanamischezo wa Israeli katika munich Olyimpic , Israel ililipa kisasi kwa kwasaka kiongozi wao mmoja mmoja mpaka wakamuuwa wa mwisho Abu nidal mwaka 1986 mjini tunisia kwa risasi mia nane mwilini huku mkewe na watoto wake wakiangalia live na video ilikuwa inachukuliwa pole polepole. Mkewe abu nidal hana akili nzuri mpaka leo, yuko kama vile punguani baada ya kushuhudia mauaji ya mmewe.

Leo hii wajuu wa Abraham(waisraeli) wanaingia Lagos mpaka huko Beno kuhakikisha Boko haram hana tena maisha marefu. wewe chunguza msako utakavyo wakamata viongozi walioshuriki kuipa kichwa Boko haram.

those are lies on kenya.hakuna ukweli eti israel walituliza lolote kenya.uongo
 
wameishindwa hammas inayowauwa kila siku wataweza boko

Wewe kweli hujui kinachoendelea Duniani!!! Nani kakudanganya kuwa Israel imewashindwa Hamas, ni miaka sasa Hamas wameufyata mkia na Israel inaendelea kujenga makazi ya wayahudi bila kusikiliza UN au human rights watch wanasemaje. Kumbuka hamas ikiua Myahudi mmoja, Israel inaua wapalestina wengi bila kujali mzee au mtoto. Ailaanie Israel amelaaniwa, na aibarikie amebarikiwa. Usicheze na Taifa teule la Mungu.
 
kuwa ya waisrael sio sababu ya wao kuingia kufanya uokozi wa kimaambano. ingekua ndivyo nchi zingekua zinakwenda kuokoa raia wao katika mataifa mengine kwa sababu tu ni raia wa nchi hizo. sasa kwa kukusaidia wewe ilikua hivi. Israel baada ya kuangalia na kuona mazingira na hali nzima ya kilichokua kinaendelea (Situation assessment) waliamua kuchukua operation nzima wao wenyewe bila kuingiliwa jambo ambalo Kenya walilikataa wakitaka na wao wawe katika operation hiyo. Israel wakaamua kujitoa ila kimsingi Izrael walisema operation ile ilikua ndogo sana haikuhitaji kuhusisha jeshi na askari kwengi kiasi kile. Serikali ilipokataa wakajitoa na kuondoka zao. hivyo ndivyo ilivyokua. mimi najua westgate ni ya waisrael sawa lakini hawakuhusika katika uokozi kwa sababu tu ni ya kwao (huyo mama wa kiyahudi) anaeimiliki ila walihusika kwa uzoefu wao ingawa baada ya kupishana na serikali ya kenya walijiondoa. na pale hamna uokozi uliofanyika ila magaidi walipotelea katika hewa nyepesi hakuna cha kusema serikali iliwashinda au iliwaua au iliwakamata. It was a failure operation wala si ya kujisifia.

Acha kuwapotosha wenzio hapa...mwanzo westgate haimilikiwi na mwanamke...pole muongo umenoa!...pili uliposema kua nchi hazihusiki kuwaokoa rai wao walio taabani nchi zingine umepotosha wenzio tena.
Kule Libya Kenya ilituma ndege kuokoa raia wake,hata Sudani kusini,waaisraeli waliotekwa na magaidi wa kipalestina,vile vile Russia juzi tu!,Crimea,Marekani nao tangu jadi....kwa hivyo jifunze kuwa mkweli angalau hata asilimia moja tu wakati mwingine...:shock:
 
Wewe kweli hujui kinachoendelea Duniani!!! Nani kakudanganya kuwa Israel imewashindwa Hamas, ni miaka sasa Hamas wameufyata mkia na Israel inaendelea kujenga makazi ya wayahudi bila kusikiliza UN au human rights watch wanasemaje. Kumbuka hamas ikiua Myahudi mmoja, Israel inaua wapalestina wengi bila kujali mzee au mtoto. Ailaanie Israel amelaaniwa, na aibarikie amebarikiwa. Usicheze na Taifa teule la Mungu.
kwahiyo nani gaidi zaidi ya mwenzake hapo?
 
Back
Top Bottom