ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

ACT-Tanzania yapata usajili wa kudumu!

Sijui kwa nini Chadema wanawaogopa ACT kuliko CCM.
 
ACTLeo imepata certificate wakat vyam vingine vina deproma Amakwel hata bajaj husem kesh nitakuwa FUSO Mwakan nch niyao
 
hawa ndio wapinzani wa kweli wenye hoja sio haya machumia tumbo

UKAWA ndio habari ya mujini! mpaka moto wa ukawa ufe mjuwe mtakuwa mmeungana na dada yenu ccj. Mna bahati mbaya kuzaliwa kipindi kimoja na ukawa.!!! aaaah aaaah Baada ya kusajiliwa safari ya kaburini hiyoooo!!!!!
 
ACT ndio tumaini pekee la watanzania wote,chama kimejipambanua kufuata siasa za Mrengo wa kati kushoto,hili ndio tatizo linalosumbua Africa,vyama vingi vinaamini katika falsafa ya ubepari,
Mfano mzuri ni chama cha mapinduzi ambacho kimeishia kuwa chama cha mabepari ambao sera yao ni ubaguzi kama tulivyomwina Lukuvi akiwakilisha chsma na serikali yake.
pua chadema ni chsma chenye mrengo wa kulia ndio maana kucha viongozi wanashinda Dubai kujivinjari kwa kodi za Walalahoi.

Chama cha wanyonge ni ACT,hawa mabepari ambao daima hupinga kuona wanyonge tukiungana tuwaachie vyama ambayo ni mali za familia zao.

Jakaya Kikwete=Ridhiwani kikwete

Tundu Lissu =Christina Lissu.
mgimwa=Mgimwa

Wibrod Slaa=Rose Kamili

CCM=CHADEMA.

Twende ACT tukajenge maadili,uzalendo na uwajibikaji kwa misingi ya ukweli na uwazi
 
Ndugu,
Kutokana na ACT-TZ kupewa usajiri wa kudumu, nimeonelea niwakumbushe kidogo historia za vyama vya siasa nchini Tanzania. Kutokana na minyukano ndani vyama, vyama vingine vimekuwa vikizaliwa. Orodha ya vyama mama na vyama watoto ni kama ifuatavyo hapa chini:

Chama mama. Chama mtoto. Hadhi
1. TANU. ANC. Kimekufa
2. CUF. CHAUSTA. Kipo hai
Jahazi Asilia. Kipo hai
ADC. Kipo hai
3. NCCR-M. Mageuzi Asilia. Kimekufa
4. CHADEMA. SAU. Kipo hai
ACT-Tanzania. Kichanga.
5. DP. AFP. Kipo hai
TLP. APPT- Maendeleo Kipo hai

Hata hivyo, historia inaonesha kuwa vyama watoto nchini Tanzania ama vimekufa wakati wa uchanga wao au kudumaa. Sababu ni nyingi, ila ufupi wa malengo ya kuasisi vyama watoto ni mojawapo ya sababu za kufa au kudumaa kwavyo.

Karibu All Churches Together - Tanzania
 
ACT ndio tumaini pekee la watanzania wote,chama kimejipambanua kufuata siasa za Mrengo wa kati kushoto,hili ndio tatizo linalosumbua Africa,vyama vingi vinaamini katika falsafa ya ubepari,
Mfano mzuri ni chama cha mapinduzi ambacho kimeishia kuwa chama cha mabepari ambao sera yao ni ubaguzi kama tulivyomwina Lukuvi akiwakilisha chsma na serikali yake.
pua chadema ni chsma chenye mrengo wa kulia ndio maana kucha viongozi wanashinda Dubai kujivinjari kwa kodi za Walalahoi.

Chama cha wanyonge ni ACT,hawa mabepari ambao daima hupinga kuona wanyonge tukiungana tuwaachie vyama ambayo ni mali za familia zao.

Jakaya Kikwete=Ridhiwani kikwete

Tundu Lissu =Christina Lissu.
mgimwa=Mgimwa

Wibrod Slaa=Rose Kamili

CCM=CHADEMA.

Twende ACT tukajenge maadili,uzalendo na uwajibikaji kwa misingi ya ukweli na uwazi

Makosa makubwa sana kuanzisha upinzani against upinzani. Adui wa wananchi na siyo wote ni chama tawala na watawala. Upinzani wowote duniani ambao utaanzishwa kwa lengo la kupambana na mpinzani mwezie hauwez kufanikiwa. Kwa hiyo viongoz wa act hata kama wana nia ya kupambana na chadema wameshakosea toka siku ya kwanza kujitangaza kuwa wanakuja kuwa mbadala wa chadema a wrong enemy. Kwa hiyo act itashia kama tlp agaist nccr na cuf ilivyojisahau bara ikaanza kupambana na chadema majukwaani mwisho wakabaki na mbunge mmoja. Sasa act imejipambanua hivyo mapema mno na naona ikififia polepole hasa ukizingati mapambano yake yatakuwa zidi ya ukawa na siyo chadema tena.
 
Leo Dr.Kitila Mkumbo leo kajiunga rasmi ACT.
 
Kama walivyo jipambanua kuwa ni chama cha ukombozi wa wanyonge; basi wafanye hivyo sio kuua upinzani
 
ACT ndio tumaini pekee la watanzania wote,chama kimejipambanua kufuata siasa za Mrengo wa kati kushoto,hili ndio tatizo linalosumbua Africa,vyama vingi vinaamini katika falsafa ya ubepari,
Mfano mzuri ni chama cha mapinduzi ambacho kimeishia kuwa chama cha mabepari ambao sera yao ni ubaguzi kama tulivyomwina Lukuvi akiwakilisha chsma na serikali yake.
pua chadema ni chsma chenye mrengo wa kulia ndio maana kucha viongozi wanashinda Dubai kujivinjari kwa kodi za Walalahoi.

Chama cha wanyonge ni ACT,hawa mabepari ambao daima hupinga kuona wanyonge tukiungana tuwaachie vyama ambayo ni mali za familia zao.

Jakaya Kikwete=Ridhiwani kikwete

Tundu Lissu =Christina Lissu.
mgimwa=Mgimwa

Wibrod Slaa=Rose Kamili

CCM=CHADEMA.

Twende ACT tukajenge maadili,uzalendo na uwajibikaji kwa misingi ya ukweli na uwazi

ACT tutawafundisha uzalendo vyama vingine
 
mapambano ya ACT ni dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi, hatuna mapambano na chama chochote cha siasa
 
CCM iwafadhili hela, then wapambane nao tena. ACT imesajiliwa ipambane na CDM na siyo CCM.

Kama uongo subiri uone abokokaramo atakovyojitambulisha saa hv wametumwa kufanya nini.
 
mapambano ya ACT ni dhidi ya ujinga, umasikini na maradhi, hatuna mapambano na chama chochote cha siasa

Nimependa hiyo slogan hapo ndipo wanapokosea chadema kupambana na chama badala ya changamoto zinazotukabili vp wapi naweza pata kadi ya chama?
 
CCM iwafadhili hela, then wapambane nao tena. ACT imesajiliwa ipambane na CDM na siyo CCM.

Kama uongo subiri uone abokokaramo atakovyojitambulisha saa hv wametumwa kufanya nini.

Watashindana.......
 
CCM iwafadhili hela, then wapambane nao tena. ACT imesajiliwa ipambane na CDM na siyo CCM.

Kama uongo subiri uone abokokaramo atakovyojitambulisha saa hv wametumwa kufanya nini.

tumetumwa kuwakomboa watanzania
 
Last edited by a moderator:
ngoja tusubiri ngumi,maana waasi hawawezi kuaminiana hata siku moja,kesho tu utasikia zzk akimpinga kitila au mwigamba
 
Wewe ndiyo unaumwa, unahitaji ACT tena yenye nembo ya jani iliyothibitishwa WHO. Kama ni hivyo hebu nenda kwa Mtungi usajiri chama kwa acronym ya CCM umwambie abbreviation yake ni Chama Cha Makini (CCM), uone kama atakisajiri?
Ujue hapa ndio ninapojua kuwa hutumii akili, jamaa amekujibu vizuri sana, kutumia acronym au abbreviation lkn ina maana nyingine ni sawa tu! Ili mradi tu kusiwe na chama kingine husika ndani ya nchi hiyo hiyo kinachofanana abbreviation na Chama hicho kinachohitaji usajili. Nakupa mfano hai, USA chama cha Obama kinaitwa Democratic, na Tanzania chama cha mtikila kinaitwa Democratic.
Na hata hapa Belgium kuna chama kinaitwa Democratic, UK vilevile.
Fikiria kabla ya kubishia wanaojua.
Haya lete ubishi mwingine uchekwe!
 
Back
Top Bottom