Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

..kumbe wakazi wa Kata ya Kijitonyama-Kinondoni hawakukosea kukunyima kura za udiwani,uchaguzi wa 2010,unauwezo mdogo sana wa kujenga hoja na kuchanganua mambo ndugu Bulembo..

- Sasa utalinganisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na diwani? hivi nyie mna nini jamani!, wewe unaweza kumlinganisha Mjumbe wa CC na diwani?

Le Mutuz
 
Sekretari wa Bulembo naona upo juu kumtetea bosi wako!Okey,Ilikuaje Pinda akasema wanakusudia kuifuta jumuiya ya wazazi ccm kwa kushondwa kujiendesha na kubuni miradi ya kiuchumi?Bosi wako kutwa nzima porojo mitaani!huoni kuwa tatizo ni uongozi na ushauri wenu wapambe ambao ni mbovu?
Mh.Mnyika ana uwezo wa kiakili kuliko sekretariet nzima ya lumumba ndiyo maana wewe na bulembo hamkuchaguliwa ubunge!
 
Ulinganifu unakujaje hapa na wakati hoja ni kuwa aliukosa udiwani na akakimbilia mahakamani,Huyu alikataliwa na umma sasa anatumikia vyeo vya dezo,
 
- Wewe imefutwa Chadema imekuwa UKAWA mbona husemi hayo unasema mambo yasiyokuwepo, vipi kaka

Le Mutuz System
 
Ulinganifu unakujaje hapa na wakati hoja ni kuwa aliukosa udiwani na akakimbilia mahakamani,Huyu alikataliwa na umma sasa anatumikia vyeo vya dezo,

- Hivi huko Chadema mna vyeo vya dezo? Maana sijawahi kuisikia Tanzania kuna vyeo vya dezo labda UKAWA

Le Mutuz System
 
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
When the executive does not have the political will to let the legislative function freely, I wonder where we are heading to as a nation.
 
Ujinga haufichiki. Inawezekaje mtu mzima kupanda jukwaani na kutoa matamshi kama hayo! Hii imekuwa kawaida ya viongozi wa juu wa juu wa ccm kutoa matamshi kama haya likiwemo ' wapinzani wanaenda kunywa/hawanywi tena chai ya Ikulu'. Huu kama si utoto ni ujinga....kama si ujinga.....something wrong some where.....I reserve my respect on this! Hii nchi inaongozwa na watu gani Mungu wangu! Tatizo ni nini? Tumekukosea nini Mungu wetu! Tusamehe ili nchi ipone.
 
- We are heading to UKAWAzzz inayoongozwa na Wenyeviti wasiotaka uchaguzi kwenye vyama vyao lakini wanajua kudai haki kwa CCM, ha! ha! ha! le UKAWAzzz

Le Mutuz System
 
Ujinga haufichiki. Inawezekaje mtu mzima kupanda jukwaani na kutoa matamshi kama hayo! Hii imekuwa kawaida ya viongozi wa juu wa juu wa ccm kutoa matamshi kama haya likiwemo ' wapinzani wanaenda kunywa/hawanywi tena chai ya Ikulu'. Huu kama si utoto ni ujinga....kama si ujinga.....something wrong some where.....I reserve my respect on this! Hii nchi inaongozwa na watu gani Mungu wangu! Tatizo ni nini? Tumekukosea nini Mungu wetu! Tusamehe ili nchi ipone.

- Ujinga haufichiki unapokuwa UKAWA halafu unakubali kuwa mbunge wa viti maalum wa kupewa na CCM, kama kweli una ubavu simama wananchi wakuchague ukishapewa na CCM viti maalum unyamaze tu!1

Una maana gani? kuwa vya bule vikuleweshe? Vikufanye mjiga (no reasoning any more))?) Viti maalum tutavifyekea mbali katiba mpya. Kumbe mlivifanya kichaka cha maovu na leo Mbatia ameibua mapya yaliyoko huko. Thanks Mbatia!
 
hivi ni huyu mbatia aliyemtukana rais mwinyi wakati mbatia akisoma chuo kikuu au mbatia mwingine
 
- Ujinga haufichiki unapokuwa UKAWA halafu unakubali kuwa mbunge wa viti maalum wa kupewa na CCM, kama kweli una ubavu simama wananchi wakuchague ukishapewa na CCM viti maalum unyamaze tu!1

Le Mutuz System

UKAWA wamekushika korodani, unasikia raha kila dakika kuwataja
 
Huyo mtu anapaswa kujua kwamba raisi ni wa tanzania wote na wala sio wa chama kimoja, kuna viongozi wana nafasi kubwa tu lakini elimu ya uraia ni zeeeeero! Hivi huyo mtu anategemea shukrani ya aina gani?
 
hivi hili le mutuz lina akili? coz naliona kama limusukule vile! yaani kila kitu ukawa!
 
Abdallah Majura Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!Alikuwa kiongozi wa FAT (siku hizi TFF)wakati wa utawala wa Ndolanga na walipo badili katiba kuwa kiongozi wa TFF at least awe Form IV akaondoka!

Namjua jamaa huyu toka anauza mitumba na baadae bucha pale stand Musoma;kwake siasa ni kazi maana ndiyo mtaji wake!Bulembo atafanya nn CCM ikiondoka madarakani?

Du, kumbe jamaa hata elimu ya Form iv hana!!!
Sasa hapo tusimlaumu, ametoa hoja inayolingana na uelewa wake mdogo.
 
Hiyo jumuiya ya wazazi naamini ni jumuiya ya watu wazima walioacha akili zao manyumbani kwao hivyo huropoka chochote bila kushirikisha ubongo tena kwa makusudi kabisa.
CCM ni kama mnara wa babeli kila mtu anatapika uchafu wake tu
 
Bahati mbaya sana bulembo hana binti mrembo, naona angemgawia mzee zawadi
 
Back
Top Bottom