Recent content by mrmufindi

  1. M

    Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

    Mtu mhimu sana wewe. Nikiona meseji yako huwa nafrahi na nafsi hufrahia uwepo wako.
  2. M

    Simba yapeleka malalamiko CAF kufuatia Tukio la Moshi uliosababishwa na mashabiki wa wydad

    Mlitegemea watafutwa kama mlivyolilia kwa Tp Mazembe mkapewa point mezani?? Mkapambane hakuna kitonga
  3. M

    Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Mfumo huo mzuri ila inahitaji pumzi ya maana maana kuruhusu counter attack ni rahisi zaidi. Ushauri wangu timu ijaze viungo kwaajili ya kuharibu movement za adui. Lakini pia kama kocha ataona inafaa Mzamiru, Kibu D na Putin kanute wacheze nyuma kidogo kuwasaidia mabeki huku wakifanya...
  4. M

    Nimeambiwa Simba SC wakitumia Low Block na Counter Attack Wydad Casablanca FC anatupeleka Semi Finals CAFCL

    Kaka tz Kuna timu inayoabudu uchawi kama Simba?? Kutoka mbezi hadi temeke kinyumenyume ni uchawi bado ukaunguza uwanja wa watu ugenini na ukapigwa ya mbavu
  5. M

    Embu tuchat wawili wawili humu

    Depal uu wapi malkia wa nguvu
  6. M

    Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

    Depal popote alipo namsalimia kipekee kulingana na hoja ya mtoa mada
  7. M

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Swali nzuri sana na ni sanamu pia
  8. M

    Ukristo ni dini ya kipagani, ni dini ya kuabudu jua

    Njaa mbaya sana. Unatafuta waumini kwenye jukwaa la wajuvi wa mambo?? RC, KKKT NK wanaabudu siku ya jumapili kwa Imani Yao kwamba wanaadhimisha siku ya UFUFUKO WA BWANA YESU KRISTO MBEBA UZIMA. OVER
  9. M

    Wanayanga mnazingua, jifunzeni kwetu mashabiki wa msimbazi

    Rage alishasema na kauli yake inaishi milele. Na ikumbukwe kauli ya mwenyekiti ni sheria hakuna kocha Wala mtu yoyote wa kupinga na kubadili kauli hiyo.
  10. M

    Wanayanga mnazingua, jifunzeni kwetu mashabiki wa msimbazi

    Mbona nyinyi mlisema Tp mazembe mbovu kisa kufungwa na yanga?? Why hamkumpongeza Yanga?? Simba na yanga wote hamna mwenye unafuu kwenye unazi usio na uhalisia.
  11. M

    Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Kabla hajawa rais uliona nguo anabadili kwa muda gani? Watu mna nongwa na vitu vidogo sana.
  12. M

    Arsenal akifanya hivi atashinda taji la Epl

    Chelsea unam-underate? Chelsea ndo game tafu nakwambia
  13. M

    Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    Nyumba yangu vifaa pekee kwa nyumba yenye ukubwa huo huo nikitumia tsh 1.5 mln of money na fundi alinisaidia kwa 200000. Kujenga Kila kitu gharama.
  14. M

    Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Una mawazo na ujasiri kama wangu maana huwa siumizi kichwa nikiamua kusonga mbele bila kuangalia nyuma
Back
Top Bottom