Arsenal akifanya hivi atashinda taji la Epl

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,997
8,374
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023

Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema

"wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio maana wamejawa uoga mwingi"

Ni kweli ukiangalia kikosi chote cha Arsenal mchezaji mtu mzima (aliyekomaa kiakili ni joginyo tu wengine wote ni wavulana

Tuache hayo pembeni ili Arsenal achukue ubingwa anatakiwa ashinde mechi zote na atoe sare na manchester city

Leo Arsenal anacheza ana mechi akishinda ataongeza gape ya point tisa dhidi ya manchester city

Prediction
arsenal 4-1 Southampton
 
Kuna mechi mbili ngumu sana kwa Arsenal, mechi dhidi ya mancity na dhidi ya Newcastle. Akipata matokeo mechi hizo basi atakuwa bingwa, short of that tutakuwa tumeongoza ligi kwa msimu mzima then ubingwa tunagawa kwa wengine.
 
Mtazamo wangu Arsenal anaweza kupata sare akienda manchester city,city ana focus uefa hawezi kukamia game,

Mechi ya newcastle ni rahisi mno kushinda yule kocha sio tactical anategemea physic ya wachezaji

Mechi ngumu kwa Arsenal ni chelsea,lampard atataka kuonyesha kitu hatataka kufungwa na junior coach aliyemkuta kwenye game
 
Itaniuma sana Arsenal akikosa ubingwa, Yaani kama mbio za marathon unaongoza wenzako mwanzo mwisho unafikia finish line anatokea bwege mmoja hivi anakupita.
 
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023

Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema

"wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio maana wamejawa uoga mwingi"

Ni kweli ukiangalia kikosi chote cha Arsenal mchezaji mtu mzima (aliyekomaa kiakili ni joginyo tu wengine wote ni wavulana

Tuache hayo pembeni ili Arsenal achukue ubingwa anatakiwa ashinde mechi zote na atoe sare na manchester city

Leo Arsenal anacheza ana mechi akishinda ataongeza gape ya point tisa dhidi ya manchester city

Prediction
arsenal 4-1 Southampton
Point tisa labda za TFF
 
Kuna mechi mbili ngumu sana kwa Arsenal, mechi dhidi ya mancity na dhidi ya Newcastle. Akipata matokeo mechi hizo basi atakuwa bingwa, short of that tutakuwa tumeongoza ligi kwa msimu mzima then ubingwa tunagawa kwa wengine.
Chelsea unam-underate? Chelsea ndo game tafu nakwambia
 
Kuna mechi mbili ngumu sana kwa Arsenal, mechi dhidi ya mancity na dhidi ya Newcastle. Akipata matokeo mechi hizo basi atakuwa bingwa, short of that tutakuwa tumeongoza ligi kwa msimu mzima then ubingwa tunagawa kwa wengine.
Inasikitisha sana hii dah😣
 
Mtazamo wangu Arsenal anaweza kupata sare akienda manchester city,city ana focus uefa hawezi kukamia game,

Mechi ya newcastle ni rahisi mno kushinda yule kocha sio tactical anategemea physic ya wachezaji

Mechi ngumu kwa Arsenal ni chelsea,lampard atataka kuonyesha kitu hatataka kufungwa na junior coach aliyemkuta kwenye game
Aliyekwambia city anakamia game nani? Arsenal alipigika mechi ya kwanza kwahiyo alikamiwa?
 
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023

Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema

"wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio maana wamejawa uoga mwingi"

Ni kweli ukiangalia kikosi chote cha Arsenal mchezaji mtu mzima (aliyekomaa kiakili ni joginyo tu wengine wote ni wavulana

Tuache hayo pembeni ili Arsenal achukue ubingwa anatakiwa ashinde mechi zote na atoe sare na manchester city

Leo Arsenal anacheza ana mechi akishinda ataongeza gape ya point tisa dhidi ya manchester city

Prediction
arsenal 4-1 Southampton
❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchezaji kama Jorginho lazima alitakiwa awe starter kwenye timu kama Arsenal. Anawekwa benchi na wachezaji wanaocheza mpira wa kubahatisha na pia wanakosa strong mentality.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom