Recent content by mrmind

  1. mrmind

    Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

    Wanakodisha kwa sh ngapi na nimaeneo gani?
  2. mrmind

    Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

    Aina eneo na ndio hilo linalonicheleweaha Swala LA soko halisumbui kabisa. Nafikiria kutafuta shamba Moro na Pwani ila sasa sijui watanikodishia kwa sh ngapi
  3. mrmind

    Natafuta kazi ya ualimu wa Hotel Management

    Habarini wakuu, Natafuta kazi ya kufundisha kwenye vyuo vya hotel management. Nina uwezo wa kufundisha kuanzia nadharia hadi kwa vitendo, vyakula kuanzia breakfast menus, cold and hot staters, main course.
  4. mrmind

    Masawe Mtata v/s Kicheko wa E_F.M

    Siku hizi simuini akiigiza tena ,ndio ameacha akaenda kutangaza??
  5. mrmind

    Vijana wadogo na mijimama

    Hapo kuna mawili,hio mijimama inaitaji shuhuli pevu sana.humu hao vijana wadogo wajiitaji kulelewa MAANA ndio rika yakuwa nabishoo na wengi wao hawana kazi hivyo ile mijimama inawapa pesa .marioz
  6. mrmind

    Natafuta kazi za Hotelia

    OK kama anauwezo huo mzuri tembelea zoom kuna sehemu wanaitaji waetres 3 kule mbezi beach.ukishatuma maombi itabidi unipe no zako mm nikutumie no za MTU mwingine ampigie yeye aongee nae labda wataafikiana vizuri.chamsingi akiwa anaongea nae ajiamini sana.
  7. mrmind

    Natafuta kazi za Hotelia

    Umesema anauzoefu lakini hujabainisha anauzofu kitengo gani,kitchen,service, front office au housekeeping?
  8. mrmind

    Mtaji wa kilimo cha mbogamboga

    Naitaji kufanya kilimo cha mboga mboga maeneo yanayozunguka Dar es salam. Sasa nataka kujua kwa wenye uzoefu mzuri mtaji wa kimo cha chini na cha kati niwe na shilingi ngapi.
Back
Top Bottom