Natafuta kazi za Hotelia

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
3,729
Wakuu mnaweza kunisaidia nikapata hoteli mke wangu apeleke maombi ya kazi? Ana experience ya kutosha, sababu ya kuacha kazi mwanzo ni alienda kujifungua na hakubatika tena kurudi.

Msaada wenu ndugu zangu kuwa tegemezi ni shida sana
0716561026
 
Umesema anauzoefu lakini hujabainisha anauzofu kitengo gani,kitchen,service, front office au housekeeping?
alishawahi kuwa kitengo cha service, akabadilishwa akawa font office and then baada ya kurudi kujifungua akawa storekeeper
 
OK kama anauwezo huo mzuri tembelea zoom kuna sehemu wanaitaji waetres 3 kule mbezi beach.ukishatuma maombi itabidi unipe no zako mm nikutumie no za MTU mwingine ampigie yeye aongee nae labda wataafikiana vizuri.chamsingi akiwa anaongea nae ajiamini sana.
 
asante sana mkuu kama itawezekana nisaidie hyo namba ya kwangu hyo hapo. 0716561026 maana nimechek zoom hakuna latest post nyng dealine zake zilikuwa february au nisaidie link
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom