Natafuta kazi ya ualimu wa Hotel Management

mrmind

Member
Jun 26, 2016
8
3
Habarini wakuu,

Natafuta kazi ya kufundisha kwenye vyuo vya hotel management. Nina uwezo wa kufundisha kuanzia nadharia hadi kwa vitendo, vyakula kuanzia breakfast menus, cold and hot staters, main course.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom