Recent content by MrKanteChelsea

  1. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Haiti hiyo nchi isha jifia, marekani waingilie kati kwa hao watekaji waliomua vibaya huyo dada kwa mapanga

    Mnawaita mabeberu acha wafanye ya kwao yalio sahihi kwao
  2. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Machawa kuendelea kuomboleza

    Rejea maoni yako
  3. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Bilionea Joseph Mbilinyi aanika Utajiri wake ili kuondoa Mkanganyiko

    Mbona wengine tumemuhide au unapuuza nyie ndio mnampa fame
  4. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Machawa kuendelea kuomboleza

    Si kila anayetoa maoni kinyume na kichwa chako ni chadema punguza ujinga
  5. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa mabasi unaendelea kwa siku ya pili, 30 Septemba 2026

    Unaandika kama umekata kichwa wakati walimu na manes wengi ni makada
  6. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aiambia mahakama yuko tayari kufa kwa kupigania haki na demokrasia

    Ingekuwa mahakama inatoa funzo watu wasingekuwa wanafanya ubakaji au wizi kichwa chako
  7. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Mkiambiwa CCM ina mbinu 100 za kukaa madarakani mnabisha

    Mbinu ipi tofaut na dola
  8. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

    Ushoga unapingwa kwa kutazama mantiki ya nature from the grass roots nje kabisa na misingi ya hizi dini tulizonazo nje na misingi ya sheria za nchi Tukitudi katika nature, nature haitambui kitu kinachoitwa uzinzi, nature inatambua reproduction, sifa ya kibaiolojia ambayo viumbe huzaliana ili...
  9. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Trump aanzisha Trump TV baada ya Vyombo vya habari kumsusia

    Tanzania kuna media ya kususia?
  10. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Azam na tbc wanalipa ndio
  11. MrKanteChelsea

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani watu wanadhani ina hela lakini kwa ground ni 'Msoto Mtupu'?

    Mimi nafanya kazi kwenye media ni kilio ni wachache sana asilia 0.5 kati ya 100 wanafurahia kazi hii kiuchumi tz
Back
Top Bottom