2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Hamna mpira hapa kwa mtu kweli anayetaka kutazama mechi nzuri.

Mpaka first half inaisha hakuna cha maana cha kuchambua kuhusu mpira huu ni ushenzi tu unaendelea uwanjani.
 
Huyu refa anatufaa...
Atakuwa na hasira ya nduguzake Egypt...

1784145591133.png
 
Hii mechi Refa akisema apige filimbi kila tukio basi tutaangalia mipira ya foul tu.
Kingine nimeona wewe ni mshabiki wa Ma U (Nyumbu) ila ajabu leo hii unazungumzia fair (inafurahisha!!!) unasahau Howard Webb aliwabeba kiasi gani huko nyuma...Au unataka fair sababu Messi anacheza?
Acha matusi
 
Nje moto ndani moto, half time tu wamechezeana foul mara 19, tusishangae red kadi huko mbeleni.
Hii ni vita isiyo na milipuko.
Ilikuwa hivyo 1986, England alikufa kibudu.
Ikawa hivyo 1998, England alikufa m, ikawa hivyo tena 2002 Argentina alikufa.
Timu hizi kila zikutanopo hukumbuka masahibu ya 1982. Falklands war
 
Back
Top Bottom