The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,553
- 123,016
Refa timeeeee.
Mh hii hata haina radha maana jamaa hakutegemea kucheza hiyo penaltiOyarzabal💥💥💥
#Hallelujah!!!
Paka kadai Spain wanatoka 😅Mpaka iishe
Kweli wewe ni takataka pia kashabiki uchwara ka CR7 Unaandika ujinga ukiambiwa ukweli unaleta mambo ya jinsia.
Paka wa ubashiri yuko nchi gani na amebashiri nchi gani itatwaa taji?Paka kadai Spain wanatoka 😅
Kivipi?Hili kombe la dunia lishakua la kiboya sana.