Recent content by mrembomakini

  1. M

    Kwa yeyote anayeijua Raleigh International Tanzania

    Duh mimi mwenyewe nliwahi kwenda ni mateso tupu unajitolea na hakuna hat sent unayolipwa..nikukaa vijijini mnachimbia watu vyoo mnajipikia wenyewe na kulala kwenye ma tent..yani upuuzi mtupu na ukishaingia umeingia hakuna kuaga unaenda home au wapi mpaka miezi uliyopangiwa iishe na certificate...
  2. M

    Naomba ushauri: Biashara nje ya nchi

    Nimependa Ushauri wako Mr. Felex
  3. M

    Post: Koplo na kontebo wizara ya mambo ya ndani kitengo cha uhamiaji

    Washaitwa kitambo so ikiona kimya ujue mambo si mambo!! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  4. M

    Interview uhamiaji

    Watu walishachaguliwa kitambo ni kweli kabisa kama huna refa sahau kabisa maana watu walikua washachaguliwa kitambo kabla ya ww kuapply! Ww cha msngi ni kutafta tu pengne sahau kabsa kuhusu uhamiaji. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  5. M

    Hebu ona mwenzako nilivyoanza kujiajiri!

    Umekosea sana kwa kudharau mtu anadiploma ya ustawi wa jamii kajibweteka, na ww unadegree ni mkulima, haijalishi unaweza kuawa na hata masters umesoma Oxford university na ukawa muuza matunda!! Kila mtu anastyle yake yakutafta maisha bana!! Usiwe hivyo fikiria kwanza!! Mwanzo wa mada ulikua...
  6. M

    Msaada wenu tafadhali

    Mimi ni msichana mwenye miaka 24, nimemaliza certificate ya records management pale chuo cha utumishi wa umma natafuta kazi ya Record Management popote pale nafanya.. natumaini mtanisaidia kwa hilo tafadhali
  7. M

    Ridhiwani yupo huku sasa!

    Ni kwel kabisa mkuu umenena, tatizo wivu unatutawala na kwa mtindo huu tutakua tukitenda dhambi kwakumhisi mtu vibaya tu. Keep it up Riz and God bless u, go ahead usijali wasemayo fanya yako Mkuu! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  8. M

    Msaada kwa wanaojua NGO ya HEALTH GEAR

    Huyo kaka anaitwa Shafii ni tapeli mkubwa kashawaliza wengi yuko na mwenzie anaitwa Rachel tena tapel wa kike duh, usidanganyike ndugu take care, watu wengi walishalalamika humu ndani kwa ajili yake. Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  9. M

    YESU amenipa kazi UN

    Inategemea Iman zao zilikua wapi, kwahyo usimparamie kisa kasema YESU ndio kampa kazi, na anauhakika kwamba yeye ndio kampa kazi maana yeye ndie amuaminie kwa kila jambo na akamjalia akapata, so usihuzunike sana kisa kampa sifa YESU wake aliyemsaidia!! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  10. M

    oryx news!!

    Ila tukumbukane bana endapo unaona tangazo la kazi basi mshirikishe na mwenzio!! Pia nimekucourt kwenye neno kubar badala ya kubali!! Sorry for that nataka nikurekebishe tu Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  11. M

    oryx news!!

    Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  12. M

    Kuzaliwa kwenye familia masikini siyo kosa lako, ila kuoa kwenye familia masikini ni uzembe

    Hahaha, inaelekea unapenda kuhongwa au kulelewa na mwanamke ndio maana unasema kuoa maskini ni uzembe, mapenzi hayachagui maskini wala tajiri, mapenzi ni kuheshimiana na kupendana kwa dhati hata kama hamna chochote!! Jipange na ufikirie kwa kina kabla hujaropoka Sent from my BlackBerry 9700...
  13. M

    Uhamiaji koplo na kontebo.

    Tena mtu kama huyu mropokaji hovyo hana hata kazi ya maana, kwahiyo anatamani hata hii oportunity yakuapply angeipata lakini olaaa, tena huyu hata cheti cha form 4 hana, so msijali watu wangu msibabaishwe na wasiojitambua na hata future hawana!! Wishing you all the best of luck na Mungu akiwa...
  14. M

    Dr Samuel Mnzava ni Tapeli - Jihadharini!!

    Huyu jamaa kaweka nliona email yake niliiona Tanzania International University Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Back
Top Bottom