Ndugu jaribu google kama pia huwapati, mtafute totolucky humu ndani atakusaidia details zaidi
Inaonekana hawa Health Gear ni matapeli kwa sababu huyo mtu anayeitwa Shafii mwenye simu 0652795853 amenitumia meseji ya kuniomba pesa ili anipe maswali ya interview. Hivi rushwa Tanzania imefikia hapo. Kama anavyodai yeye kuwa ni mmoja wa watu wanaokaa kwenye kikao cha kujadili watahiniwa, basi hata maadili ya kazi hayafahamu. Kwa hilo hata kazi yenyewe siihitaji tena kwani nyota njema huonekana asubuhi. Hii ni NGO ya wala rushwa.:spit: