mrembomakini
Member
- Feb 22, 2013
- 27
- 6
Mimi ni msichana mwenye miaka 24, nimemaliza certificate ya records management pale chuo cha utumishi wa umma natafuta kazi ya Record Management popote pale nafanya.. natumaini mtanisaidia kwa hilo tafadhali