Recent content by Mrembo wa Lushoto

  1. M

    JamiiForums Tanzania Diamond na Zari kwenye muonekano mwingine

    Yani mngekuwa mnagawa riziki nyieee..... Diamond asingeambulia kitu. Namtakatwa sana tu hakuna namna!!!! kumuita mtoto wa mwenzio Domo??? haya tukuulize kisa Nn??? mwanaume mzima unayejiita dume, huna undugu na Diamond huo ushauri wako ungeupeleka kwa Dada zako naona ingesaidia.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    kwa kigezo gani hadi kuwa kwwnye hiyo tuzo??? bora wangemuweka hata Rich Mavoko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

    hahahahahahahahahaaaa yani imebidi nicheke japo nilikuwa nimenuna. u made my day.. du!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Jembekafestival: Diamomd katika ubora wake

    Diamond anawalaza watu macho du!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mombo-Lushoto Pics

    kiangwi
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mombo-Lushoto Pics

    wasambaa nao wamo Jf kweli dunia imekuwa kijiji
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Majambazi waliokamtwa leo

    huyo mrefu kuliko wenzake mhandsome...lazima ukiambiwa anaenda kuharibiwaa!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lulu (Elizabeth Michael) awaogopa Wachawi kumtaja aliyemtundika Ujauzito wake

    mtoto asione kichaka anataka kunyaaa!! aendelee kuiba atakuja kutembea uchi Kariakoo. me naona wanamchelewesha huyu mtoto, wamnyweshe dawa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lulu 'Elizabeth Michael', aingia kwenye bifu zito na Miss Tanzania 2012, baada ya kumpora bwana wake

    jamani Ww umemrithi shee Yahaya!! haya yametimia.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe wastaarabu, hebu mcheki huyu

    tushaazoea kukojoa popote
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti wadogo kutoka na watu wazima (VIBABU)

    uje na nguo za kubadilisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mabinti wadogo kutoka na watu wazima (VIBABU)

    yani full kujiachia, hawachoshi akimaliza amemaliza, vijana pesa hawana stress juu!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Mengi na K-Lyn

    wanachungulia wanasepaaa ...... ngoja nijitafutie langu mie.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    hivi wanakataa kulipa au huwa makonda wanaogopa kuwadai!
Back
Top Bottom