Mombo-Lushoto Pics

Mombo-Lushoto Pics

Nashangaa watu wanasema eti kitonga balaa ebu wanyalu watembelee pande izi.Waume nzeze?
 
Mimi ukizungumzia mombo nakumbuka mbuzi choma wanavo melemeta pale
 
Umenikuna moyo wangu this place lack creative leaders but could be one Of the major source for income through tourism!
 
Mkuu inaonyesha ndio kwanza unafika Lushoto. Kule barabarani ukifanya ubishi wa kupishana unajikuta uko ndani ya gema na kama ukipona basi ujue una bahati. Na hii ndio sababu busara na hekima hutumika.


Angegusia pia na watu wanavyogawiwa mifuko ya nylon kujiandaa kutapika.
 
Natamani kufika Lushoto. Apart from baridi na ukijani kuna kipi cha kufurahia?

Mwinuka zeze
 
Nashangaa watu wanasema eti kitonga balaa ebu wanyalu watembelee pande izi.Waume nzeze?
Nadhani wanasema tu, hii barabara ni nouma. Halafu ukute mtu anapanda na Basi kubwa as if yuko kwa Boda boda, lazima utapike
 
kwatama shambai ukiangwa niumu nyika,basi naomba tu ni washike na kibao cha EDI shegi shakaza mshana zumbemkuu Paloma na wengineo

Mkuu kumbe unamkumbuka eddy shegi dash R.I.P alikua jirani yangu kule kimara kabla hajafariki miaka hiyo 2003 kurudi nyuma kule wamebakia wadogo zake Chris na franswaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom