Recent content by Mrekwa

  1. M

    Maajabu ya Kijiji cha Myamba, Same Mkoani Kilimanjaro

    Mkuu ningefurahi kukuelezea ukweli kuhusu Sabato maana hii uliyosema hapa sio sahihi. Utatu mtakatifu ni moja ya nguzo yetu ya imani. Pia tunaamini sio wasabato tu watakaookolewa Mungu ana wateule wake wengi kwe madhehebu mengine. Tunaamini mafundisho ya Biblia na tunahimiza kuyashika kama...
  2. M

    Naomba kujua bei ya vitunguu maji kwasasa

    Kwa wanaoujua je bei ya vitunguu kwa sasa iko ngapi kwa Dar?
  3. M

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi Rombo natafuta mwalimu aliyeko Dar es Salaam tubadilishane ahamie Rombo na mimi nihamie Dar es Salaam. Kwa mawasiliano namba 0763686230
  4. M

    Waalimu kubadilishana vituo vya kazi Dar es Salaam na Rombo

    Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi ambaye niko Rombo Kilimanjaro, natafuta mwalimu wa kubadilishana ahamie Rombo na mimi nihamie Dar es Salaam. Kwa mawasiliano 0763686230
  5. M

    Ajali ya Scania na Bodaboda barabara ya Mandela karibu na hostel

    Hao unaowatusi wanaomwangalia na wewe uliepita mna tofauti gani?
  6. M

    Software kwa ajili ya SACCOS

    Mkuu ni PM tuongee nikutengenezee software kwa mahitaji yako. Naweza tengeneza kwenye excel au ms access na visual entry screen na report as you wish.
  7. M

    Natafuta mashine za kuranda mbao

    Kwa ufahamisho nilinunua mashine hii tena kwa mtu alitangaza hapa hapa JF lakini imeshindwa kazi.
  8. M

    Natafuta mashine za kuranda mbao

    Waheshimiwa nimewatumia msg inbox.
  9. M

    Natafuta mashine za kuranda mbao

    Je nani anajua sehemu zinapopatikana mashine za kuranda mbao Dar es Salaam? Je unafahamu na bei zake na aina. Natanguliza shukurani.
  10. M

    Aliesoma Certificate ya Insurance

    Julieth: nahitaji mwenye cheti
  11. M

    Aliesoma Certificate ya Insurance

    Natafuta mtu aliesomea course ya insurance. Nitumie private message tuongee uwezekano wa ajira.
  12. M

    Natafuta diff ya scania 124

    Mwenye diff used au mpya ya scania 124 nijulishe please
  13. M

    Nauza scania 124 semi trailer horse na flatbed

    Inatumia booster, iliingia nchini 2009
  14. M

    Nauza scania 124 semi trailer horse na flatbed

    Axle configuration ni 2x6 trela inatumia tairi super single
  15. M

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Biashara ni maelewano hasa ukijua kifaa ni second hand. Si ndio maana bei inapunguzwa? Hata simu mpya inaweza kuwa na defect sembuse iliyotumika?
Back
Top Bottom