Maajabu ya Kijiji cha Myamba, Same Mkoani Kilimanjaro

Wakiristo na wasabato tofaoti yao nn?
Ukristo ni msingi, ni sawa na muislamu asipotambuwa nguzo tano huyo siyo muislamu.

Wasabato hawatambui utatu mtakatifu, halafu mtu ambaye si msabato wao wanaona kapotea wakati wao ndio wamepotea.
 
Mkuu ningefurahi kukuelezea ukweli kuhusu Sabato maana hii uliyosema hapa sio sahihi. Utatu mtakatifu ni moja ya nguzo yetu ya imani. Pia tunaamini sio wasabato tu watakaookolewa Mungu ana wateule wake wengi kwe madhehebu mengine. Tunaamini mafundisho ya Biblia na tunahimiza kuyashika kama Biblia inavoagiza. Hatuna mamlaka ya kuhukumu mtu kuwa kapotea au la hio ni Mungu mwenyewe anajua kwa kua ndie pekee anaweza kusoma siri za mioyo ya binadamu.
 
Jamii hiyo ni Wanafiki wa Kupindukia. Ukifatilia sana jamii hii imetapakaa Same nzima. Kwa kifupi jamii ya Kipare ni Wanafiki Sana bila chenga. Nimemaliza.

Vijana wa sasa wa Kipare wanaotokea maeneo hayo wamekuwa Wasusaji sana ukikutana nao maeneo ya maendeleo wakiona wewe mgeni. Wanajibagua na kuacha kutoa ushirikiano.
 
Mkuu ningefurahi kukuelezea ukweli kuhusu Sabato maana hii uliyosema hapa sio sahihi. Utatu mtakatifu ni moja ya nguzo yetu ya imani. Pia tunaamini sio wasabato tu watakaookolewa Mungu ana wateule wake wengi kwe madhehebu mengine. Tunaamini mafundisho ya Biblia na tunahimiza kuyashika kama Biblia inavoagiza. Hatuna mamlaka ya kuhukumu mtu kuwa kapotea au la hio ni Mungu mwenyewe anajua kwa kua ndie pekee anaweza kusoma siri za mioyo ya binadamu.
Basi wachungaji wenu wengi ni vimeo, wao nao wana propaganda ya kwamba Papa ndio mnyama 666 wakati ukweli unajurikana 666 ni yule utawala wa wakati huo wa Italy, ndio Yonana kwenye Ufunuo wa Yohana akamuandika kwa mafumbo.
 
Hivi ni kwanini wapare wanapenda sana makande
 
Mkuu ningefurahi kukuelezea ukweli kuhusu Sabato maana hii uliyosema hapa sio sahihi. Utatu mtakatifu ni moja ya nguzo yetu ya imani. Pia tunaamini sio wasabato tu watakaookolewa Mungu ana wateule wake wengi kwe madhehebu mengine. Tunaamini mafundisho ya Biblia na tunahimiza kuyashika kama Biblia inavoagiza. Hatuna mamlaka ya kuhukumu mtu kuwa kapotea au la hio ni Mungu mwenyewe anajua kwa kua ndie pekee anaweza kusoma siri za mioyo ya binadamu.
Wasabato hawaamini nguruwe sio wakristo kabsa alisikika mlevi mmoja
 
Ukristo ni msingi, ni sawa na muislamu asipotambuwa nguzo tano huyo siyo muislamu.

Wasabato hawatambui utatu mtakatifu, halafu mtu ambaye si msabato wao wanaona kapotea wakati wao ndio wamepotea.
Huo utatu ni kulingana na Biblia au kateskimo
 
Ni Kijiji chenye kabila la Wapare na dini ya Kisabato. Kipo juu sana kwenye milima ya Upareni yenye msitu mkubwa wa Shengena.

1. Kuanzia Ijumaa saa 10 hadi Jumapili huwezi kupata huduma muhimu za kijamii mfano usafiri wa basi, hiace au Costa.

Maduka yote hufungwa. Huwezi kupata huduma hata ya kununua mswaki au Wakala wa pesa.

Ni muda ambao watu hawafanyi kazi kabisa, hata kama ni kazi ya hela nyingi.

Wanaume wana wivu kupindukia juu ya wanawake, hata kama siyo mke wake, siyo mwanae, siyo ndugu yake. Wivu fulani wa ajabu sana.

Wananchi wakikuitikia Ndiyo, ni ya mdomoni tu, moyoni mwao ni hapana na wako na confidence ya kukukana live mbele hata ya kiongozi. Hata kiongozi mkubwa kugeukwa ni dakika sifuri.

Ni wakulima wazuri sana wa Tangawizi inayolimwe kwenye miteremko mikali sana.
Myombo
 
Back
Top Bottom